Natamani KUWA MIMI

  • Home
  • Natamani KUWA MIMI

Natamani KUWA MIMI Natamani kuwa mimi ni group ambalo linamfanya mtu akumbuke na kuthamini Utu wake nakuheshimu utu na hali ya jirani yake

Haya njooni niwape VALENTINE OFFER YA HII MENU NDUGU .....NITAWAOA BURE KWA LEOPIGA SIMU 0684507484 AU 0624184336
07/02/2025

Haya njooni niwape VALENTINE OFFER YA HII MENU NDUGU .....NITAWAOA BURE KWA LEO
PIGA SIMU 0684507484 AU 0624184336

07/02/2025

Natamani kuwa mimi siku nikiwa Mimi

Unaweza usielewe mpaka pale utakapo ona wakuipa thamani akili Yako na mwili wako ni ww mwenyewe

07/02/2025

Siku nikijua kwanini nilizaliwa ndio siku nitakayojua kwanini naishi..

Na siku ukijua ilikuaje mpaka unazaliwa ndo siku utakayo jua kwanini ulizaliwa

Tunatengeneza  menu ya mabando ya airtel kw ELFU 15 tuu unakua na uwezo wa kujiunga mabando yaliyopo NDANI yake wewe mwe...
28/09/2023

Tunatengeneza menu ya mabando ya airtel kw ELFU 15 tuu unakua na uwezo wa kujiunga mabando yaliyopo NDANI yake wewe mwenyewe wakat wowote menu haitoki kwenye lain Yako ya airtel

Menu ni hii *149*91 # gharama tuu za kutengenezea ndo elfu 15 mabando unakua ukijiunga mwenyewe

Piga 0684507484 au 0624184336

According to 20% > Chunga tamaa mbaya>Kubari mapungufu Yako> Ongeza kipato chakoKunawakati nilazima ukubar mapungufu Yak...
01/10/2022

According to 20%
> Chunga tamaa mbaya
>Kubari mapungufu Yako
> Ongeza kipato chako

Kunawakati nilazima ukubar mapungufu Yako ili kukabiriana nayo ..tamani sana kua ww mana hakuna k**a ww

" No3 ELECTRONICS SOLUTION"SUBSCRIBE:"https://www.youtube.com/channel/UCHY3tM-CvdECMuK0CEgz4xw" Please NAOMBA USUBSC...
01/11/2021

" No3 ELECTRONICS SOLUTION"
SUBSCRIBE:"https://www.youtube.com/channel/UCHY3tM-CvdECMuK0CEgz4xw"

Please NAOMBA USUBSCRIBE CHANNEL YANGU YA YOUTUBE INAYO TAMBULIKA K**A "No3 ELECTRONICS SOLUTION " HII ITAKUSAIDIA
1. Kuuliza swali lolote la kifaa chako cha kielectronics k**a vile
laptop, desktop, phone, Tv nk
2. Kujua nini kimepostiwa kuhusu electronics
3.lakini pia kushare mawazo na kuongezeana ujuzi pale tunapo kwama
gusa link hii "https://www.youtube.com/channel/UCHY3tM-CvdECMuK0CEgz4xw" then nenda uka subscribe itakua poa sana

Dela dina videor med vänner, familj och hela världen.

Haijalishi niwakati gani unapita ..upo katika hali gani....najamii inakuonaje .........kufa kimwili nakiakili ukiwa kati...
06/04/2021

Haijalishi niwakati gani unapita ..upo katika hali gani....najamii inakuonaje .........kufa kimwili nakiakili ukiwa katika harakati zakupigania fikra ,malengo na mtazamo wako..........

No3 & Developer

Unaweza kufanya kitu sahihi kwa wakati ambao sio sahihi.. Muda mwingine niheli kukubari moja likupite iliujipange vizuri...
14/06/2020

Unaweza kufanya kitu sahihi kwa wakati ambao sio sahihi.. Muda mwingine niheli kukubari moja likupite iliujipange vizuri kwa siku nyingne lisikupite tena....

Mda mwingine unaweza tafuta mtu wakubadilishana mawazo naukakosa kutokana na mawazo na unashauri unao uhitaji kwa wakati...
12/06/2020

Mda mwingine unaweza tafuta mtu wakubadilishana mawazo naukakosa kutokana na mawazo na unashauri unao uhitaji kwa wakati huo..... Be alone is better than to be with one who make you feel alone

Chaguo zuri huonekana baada ya kuchagua..... Umuhimu wakujua kitu fatilia qanza ndo upende
07/06/2020

Chaguo zuri huonekana baada ya kuchagua..... Umuhimu wakujua kitu fatilia qanza ndo upende

04/04/2020

Binadamu tusisahau kuwa tunatembea ñamajina tusiyo yapenda k**a vile marehemu NA kilema ASA kwanini ulinge....NATAMANI SANA KUWA MIMI .UKINIDHARAU MIMI NTAKUPENDA NA KINICHUKIA MIMI SITOJARI HILO

Address

Riverside UBUNGO

Telephone

+255624184336

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Natamani KUWA MIMI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Natamani KUWA MIMI:

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share