
17/07/2025
Matukio katika picha ya Siku ya 05 ya Makambi ya Mtaa wa Tegeta 2025.
Ibada maalumu ya Sadaka ya Shukrani na ukusanyaji wa vitabu vitakavyo gawiwa katika maeneo ya Boko jijini Dar es salaam Mahali ambapo mkutano huo ulipo.