26/12/2025
๐จ Dalili za Udongo Uliokufa (Dead Soil) ๐จ
โ Mimea inakua kwa kusuasua au kudumaa
โ Majani yanageuka ya njano hata ukiweka mbolea
โ Udongo ni mgumu, haupiti hewa wala maji vizuri
โ Hakuna viumbe hai (minyoo, wadudu rafiki) ardhini
โ Mazao kupungua kila msimu licha ya gharama kubwa
๐ฑ Ukweli: Udongo ulio hai = mazao mengi, gharama ndogo, afya bora.
Badilisha leo! Anza kilimo hai kurejesha uhai wa udongo wako.
๐ Like | ๐ฌ Comment | ๐ Follow ukurasa wetu
๐ Zawadi ya elimu ya bure kwa wanaofuatilia!