24/07/2025
.... Ukiwa unafanya kitu hata k**a unahisi hawakuoni lakini huwezi kuamini Kuna watu wanakufuatilia na wanakuchukulia k**a Role Model.
Mungu anasema Tujitahidi Kujishughulisha na mambo ya watu wengine.
Je, Umewahi kuamini kwa hicho kidogo unacho kifanya kuna watu wanajifunza kwako ? Usikate tamaa maana ukikata tamaa utakuwa umewakatisha wengi bila wewe kujua .
_______________________________
Naitwa Mkisi , mtaalamu wa Digital marketing, Public Relations na Advertising.
Natakusaidia ....
1. Kuikuza biashara yako kupitia mitandao ya kijamii
2. Kujenga jina lako binafsi (personal brand)
3. Kupata mkakati bora wa mawasiliano na wateja wako
4. Kutengeneza kampeni za matangazo zenye matokeo
5. Au kuimarisha taswira yako kwenye soko
Mimi nipo hapa kukusaidia ,na kuifanya biashara yako kuwa ya kipekee . Utafanikiwa kwa kupata mwelekeo sahihi, mkakati thabiti, na matokeo yanayoonekana.
Nipigie / WhatsApp...sasahivi : 0757468193
Pengine hutakitana tena na posti hii ... Nifollow sasa , save posti kisha share na wengine .
______________________________________________________________
Je , Ungependa kununua Simu au Laptop Original zenye warranty hadi mwaka mzima ? ndio chaguo lako sahihi . Wafollow sasa au wapigie 0628210865 .
Wapo kariakoo mtaa wa Aggrey na msimbazi.