
06/05/2025
Hatimae Ratiba ya kumalizia Msimu wa ligi kuu imetoka huku ile mechi iliyo kua una subiriwa kwa hamu kupangiwa tarehe nayo ikiwemo ni Deby kati ya Simba SC Tanzania na Young Africans Sports Club
Darby's hiyo itapigwa June 15 siku ya jumapili
Je wananchi wataendelea na Misimamo wao