Zizy Sports

Zizy Sports Tunazungumza Soka ๐Ÿค

Kwa Matangazoโ˜Ž๏ธ0675342851

Japan k**a Catalonia tu .....Same vibe ,Same Feeling โค๐Ÿ’™Marcus Rashford ni k**a kazaliwa Upya uko, anakimbia bila kuchoka...
26/07/2025

Japan k**a Catalonia tu .....

Same vibe ,Same Feeling โค๐Ÿ’™

Marcus Rashford ni k**a kazaliwa Upya uko, anakimbia bila kuchoka

Anapress anarudi kukaba mpaka wachezaji wameshangaa na kujiuliza zile taarifa za yeye kutokaba au kupress zilitoka wapi ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….

Promota alitaka mambo k**a aya yasionekana Japan ...Wajapan wakamwambia unaleta utani wewe sasa ๐Ÿ™Œ.

Muda bado upo wanetu Liverpool Pelekeni โ‚ฌ100m + Florian Wirtz kwa Newcastle then muondoke na Alexander Isak .โœ…Dirisha ba...
26/07/2025

Muda bado upo wanetu Liverpool Pelekeni โ‚ฌ100m + Florian Wirtz kwa Newcastle then muondoke na Alexander Isak .

โœ…Dirisha bado liko wazi ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œ

Sema Stephane Aziz Ki huwa anapenda sana Kutungua magolikipa kwa Mipira ya Mbali ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™ŒJana kwenye mchezo wa Kirafiki alifu...
26/07/2025

Sema Stephane Aziz Ki huwa anapenda sana Kutungua magolikipa kwa Mipira ya Mbali ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

Jana kwenye mchezo wa Kirafiki alifunga mabao mawili kwenye Ushindi wa Bao 4-2 .

Katika mabao ayo ilikuwemo moja ya Freekick ya moja kwa moja ambayo ilimshinda mlinda lango na kuzama kambani .

Lakin Pia alikarbia Kufunga bao la Kona ya Moja kwa Moja ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œkipa alikuja kushtuka Chuma inagonga nguzo ..

Mashabiki wa Wydad wanafurahishwa na Kiwango chake + Utimamu wake wa mwili kwasasa 90+ yuko fit sana

Mwili wake umerejea katika kazi yake ya Kimpira na anafanya kazi kweli ..

Na ameanza Kujiokotea Point kwa Kocha Mkuu ..Imagine namba 10 anasimama Stephane

Huku mido ya chini anamaliza Congolese maestro Joseph Bakasu ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ.

โœ…CAFCC aint ready for this ...

Katika Dirisha hili la Usajili Klabu ya Yanga Sc mpaka sasa wameshakamilisha na kuzitangaza sajili zifuatazo,โœ…Moussa Bal...
26/07/2025

Katika Dirisha hili la Usajili Klabu ya Yanga Sc mpaka sasa wameshakamilisha na kuzitangaza sajili zifuatazo,

โœ…Moussa Balla Conte ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ณ
โœ…Offen Chikola ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
โœ…Casemiro wa Zenji ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
โœ…Romain Folz ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท
โœ…Lassine Kouma ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ
โณAndry Bobwa Boyer ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ
โณMohamed Doumbia ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ
โณMohamed Hussein ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
โณCelestine Ecua ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ

โœ๐ŸปWapo Busy Sana Dirisha hili .

26/07/2025
Unavyotakiwa Kuwa wakati Unatamka na Kuandika Jina La Lassine Kouma ...๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….Ukisahau herufi moja tu baaasi umeshaarbu ki...
25/07/2025

Unavyotakiwa Kuwa wakati Unatamka na Kuandika Jina La Lassine Kouma ...๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….

Ukisahau herufi moja tu baaasi umeshaarbu kila kitu kuanzia maana ya jina na maadili ya Jina .

Inasemekana Djigui Diarra ana mchango mkubwa sana wa Lassine Kouma kutua Yanga Sc ,K**a nilivyosema siku za Nyuma wachez...
25/07/2025

Inasemekana Djigui Diarra ana mchango mkubwa sana wa Lassine Kouma kutua Yanga Sc ,

K**a nilivyosema siku za Nyuma wachezaji wengi wanaocheza Stade Malien ukarbu wao na Diarra ni Mkubwa sana ,

Ndiyo Maana baada ya Kuskia taarifa na kuona baadhi ya waandishi wakimuhisha Kouma kutua Yanga Sc

Nilisema sitoshangaa wakimpa kwa maana Heshima ya Wachezaji hao kwa Diarra ni Kubwa ,Kuanzia Viongozi wa Klabu mpaka Wachezaji ..

Diarra amecheza Stade Malien ..kuanzia mwaka 2017 mpaka 2021...(wakiwa wamemlea wao kupitia Development Squad)

โœ…WAKALA DJIGUI DIARRA KATIKA MOJA NA MBILI ..

Lassine Kouma ,Mzaliwa wa Mali mwenye Umri wa miaka 21 kutoka klabu ya Stade Malien anajiunga na Yanga Sc kwa mkataba wa...
25/07/2025

Lassine Kouma ,Mzaliwa wa Mali mwenye Umri wa miaka 21 kutoka klabu ya Stade Malien anajiunga na Yanga Sc kwa mkataba wa miaka 3 .

Vyombo mbalimbali kutoka Bamako Mali vinamtaja k**a moja ya Viungo bora sana ambao walikarbia kucheza soka la kulipwa Ulaya mwaka jana .

Siyo Ulaya tena bali ni Ardhi ya Tanzania katika mitaa ya Twiga na Jangwani ..

Kimo ,mwili na Sura ni Ya Mpira ...Kilichobaki ni Kutuonyesha Uwanjani .

โœ…Its Official Daktari wa Mpira namba yake tayr imepata mrithi ๐Ÿค.


NB: Hana picha safi k**a hii kuanzia kwenye page za Klabu yake mpaka page alizokuwa anatumia yeye ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜€...Bongo k**a Ulaya .

๐Ÿ“ธ

๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆNeo Maema is a South African professional footballer known for his creativity and flair in midfield.- Full Name: Neo M...
25/07/2025

๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆNeo Maema is a South African professional footballer known for his creativity and flair in midfield.

- Full Name: Neo Maema
- Place of Birth: Bloemfontein, South Africa
- Date of Birth: 1 December 1995
- Age: 29 (as of July 2025)

โœ…Skills and Playing Style

- Primarily an attacking midfielder or winger
- Known for:

- Dribbling and ball control
- Quick decision-making in tight spaces
- Accurate passing and link-up play
- Good vision and creativity
- Ability to shoot from distance and create chances

He gained attention at Bloemfontein Celtic before moving to Mamelodi Sundowns.

NB: Left Footer asiyejua mpira uyo ni Tapeli ...Maema is the baller hasa ile kasi yake ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œmengne uwanja utaongea .

Acha Basi Marcus Rashfrod usifanye hivyo bhana ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ..Ukitaka Kuelewa Maana ya maneno ya Rashford juu ya Ukubwa wa Barca...
24/07/2025

Acha Basi Marcus Rashfrod usifanye hivyo bhana ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ..

Ukitaka Kuelewa Maana ya maneno ya Rashford juu ya Ukubwa wa Barca

Basi Angalia Posts zake Kuanzia aanze Kuhusishwa na Barcelona mpaka picha za Leo akiwa mazoezin ndo Utaelewa ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ..

โœ…K**a Top Scorer basi kwenye Tatu Bora yumo ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Rashford | "Kila mtu angetamani Kucheza na Lamine Yamal , Lamine si tu mchezaji mzuri bali ni moja ya wachezaji bora Dun...
24/07/2025

Rashford | "Kila mtu angetamani Kucheza na Lamine Yamal , Lamine si tu mchezaji mzuri bali ni moja ya wachezaji bora Duniani kwa Sasa "

Aya Maneno yalisemwa hata kabla ya Barca Kuonyesha nia ya Kumuhitaji ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

โœ…It was a Dream but now he is living in that Dream๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

ESTHER GONZALEZ Kaona hii Jezi ya Nyanda Berger haitakiwi kurudi Ujerumani acha nibaki nayo Itaenda kwenye kabati langu ...
23/07/2025

ESTHER GONZALEZ Kaona hii Jezi ya Nyanda Berger haitakiwi kurudi Ujerumani acha nibaki nayo Itaenda kwenye kabati langu la medali huko Spain maana siyo kwa michomo yangu ilivyopanguliwa ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ....Miwa k**a mitatu ya Esther imechomolewa na Nyanda Berger akaona si ishu acha nimpe Pongezi na Jezi nabaki nayo .

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zizy Sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share