TZ Trends

TZ Trends Karibu kwenye ukurasa rasmi wa TZ Trends Media kwa habari za Burudani, Siasa na Michezo kutoka ndani na nje ya mipaka ya Tanzania hii ndio sehemu sahihi
(1)

East African Leading source for Infotainment News

Rapa  anaweka rekodi mpya kwenye Tuzo za  baada ya kuwa rapa ambae ametuliwa kwenye vingele vingi kwenye Tuzo hizo baada...
06/08/2025

Rapa anaweka rekodi mpya kwenye Tuzo za baada ya kuwa rapa ambae ametuliwa kwenye vingele vingi kwenye Tuzo hizo baada ya kuteuliwa kwenye vipengele kumi

06/08/2025

Msanii alipokuwa akifanya mahojiano na Angela Yee aliulizwa kuhusu Zuchu kuwepo kwenye msimu ujao wa Young Famous & African na Diamond ameweka wazi kuwa aliwakatalia Zuchu kuwepo na Zuchu mwenyewe hataki

Diamond amesema sababu ya yeye kukataa ni hataweza kuwa vile ambavyo anatakiwa kuwa kwenye Show kutona na Zuchu kuwepo maana wao ni Mtu na Mkewe

05/08/2025

Mtangazaji na mratibu wa mashindano ya Cheza Mania leo amezindua msimu wa tatu wa mashindano hayo

amewakaribisha madancer wote waweze kujiunga hivi sasa

05/08/2025

Gigy Money akielezea jinsi gani alivyo fungua njia kwa Video Vixen wengine kuanza kulipwa

Pia Giggy haamini kupitia hela za vixen unaweza kununua Gari na Nyumba maana walikuwa hawalipwi hela nyingi

05/08/2025

Gigy Money maisha yake ya Shule haya kuwa rahisi hata kidogo, sikiliza akielezea jinsi alivyo pambana na maisha wakati ana soma

05/08/2025

Gigy Money akielezea jinsi gani halipendi jina lake halisi alilopewa na wazazi wake pia amefunguka maisha aliyoyapitia kipindi yupo mdogo

05/08/2025

Baada ya kufanikiwa kuachia Wimbo ambao hivi sasa unasumbua kila kona wa Holly Blindfold ameweka wazi ujio wa Album yake mpya

Breezy amesema kuwa huenda Album yake mpya akaiita Brown maana hivi sasa yupo kwenye maandalizi ya Album hiyo

04/08/2025

Siku ya leo kilizungumza na waandishi habari kuwapa taarifa Wasanii wa Urembo (Makeup Artist) kuwa leo wamezindua rasmi chama chao Chama cha Makeup Artist Tanzania (CMAT) ambapo akizungumza na waandishi wa habari katibu wa chama hicho Christina huruma ( )

CMAT kina wakaribisha Makeup Artist wote kujisajili ili wafanye kazi wakiwa wanatambulika kwenye chama hicho na waweze kusaidiane pale linapotokea tatizo

04/08/2025

Msanii amekutana na mtengeneza maudhui Mtanzania anaeishi nchini Marekani na kuzungumza nae baadhi ya vitu

Diamond alisema kuna ugumu mkubwa kuwa maarufu kwani kuna muda unahitaji baadhi ya vitu vyako viwe vya siri lakini kuna kuwa na ugumu kuvi tunza

Pia Diamond amemtaja kuwa ni msanii wake Pendwa na wimbo wake wa "With You" ndiyo wimbo wake bora

04/08/2025

Hivi sasa kila anapokwa jukwaani basi jua ikifika muda wa kuimba Pawa juwa mashabiki wote lazima waishiwe Pawa kutokana na mashahiri yaliyopo ndani ya Wimbo huo

  Dc wa Instagram ametia neno sakata la  na   na kudai kuwa ni Kiki kwani   ana Project anataka kuiachia.Powered by writ...
17/01/2025

Dc wa Instagram ametia neno sakata la na na kudai kuwa ni Kiki kwani ana Project anataka kuiachia.
Powered by
written by

  Page ya   imetoa orodha ya Mastaa wa Muziki ambao wanaingiza Mkwanja Mrefu kupitia Mtandao wa Youtube kwa Mwaka ambapo...
17/01/2025

Page ya imetoa orodha ya Mastaa wa Muziki ambao wanaingiza Mkwanja Mrefu kupitia Mtandao wa Youtube kwa Mwaka ambapo nafasi ya Kwanza inashikiliwa na Msanii kutoka Afrika kusini ambae anaingiza $3.1M (Tsh.Bilioni 7.1), wa Misri (Anaongoza kwa Subscribers)- $2.8 (Tsh. Bilioni 7+) na yupo namba Tatu ambapo anaingiza $2.7M (Tsh.Bilioni 6.8+).
Swipe left...
Powered by
written by

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TZ Trends posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to TZ Trends:

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share