Ammy Reporter

  • Home
  • Ammy Reporter

Ammy Reporter 📖Student at RUCU
👨🏾‍💻IT Expert | Animator | Graphics Designer
🖱Social Media Administrator ( Tabora United FC )²
🤲🏽

 ⚽🚨 KHALID AUCHO ATUA SINGIDA BLACK STARS KWA MKATABA WA MIAKA MITATU👏🙌Klabu ya Soka ya Singida Black Stars imefanikiwa ...
16/08/2025



🚨 KHALID AUCHO ATUA SINGIDA BLACK STARS KWA MKATABA WA MIAKA MITATU👏🙌

Klabu ya Soka ya Singida Black Stars imefanikiwa kukamilisha usajili wa Kiungo wa chini mwenye ufundii mwingi mguuni 'Khalid Aucho' kwa mkataba wa miaka MITATU k**a mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na Yanga SC mwisho mwa msimu huu.

🔔 Kwa hizi sajili hii ligii msimu ujao itakuwa ya moto sana🙌

| | 🧠

 ⚽🚨 SELEMANI MWALIMU ATUA SIMBA SC KWA MKOPO WA MWAKA MMOJA!Klabu ya Soka ya Simba imefanikiwa kukamilisha usajili wa Ms...
16/08/2025



🚨 SELEMANI MWALIMU ATUA SIMBA SC KWA MKOPO WA MWAKA MMOJA!

Klabu ya Soka ya Simba imefanikiwa kukamilisha usajili wa Mshambuliaji mwenye ufundii mwingi mguuni 'Selemani Mwalimu' kwa mkataba wa mkopo wa mwaka mmoja akitokea klabu ya Wydad Club Athletic.

🔔 Kipaji kikubwa ndani ya kikosi cha Wekundu wa Msimbazi🙌

| | 🧠

 🕋JUMMAH MUBARAK !🙏Mwenyezi Mungu atujaalie mwisho mwema Inshallah🤲🙏   |   |  🧠
08/08/2025

🕋

JUMMAH MUBARAK !🙏

Mwenyezi Mungu atujaalie mwisho mwema Inshallah🤲🙏

| | 🧠

 🌻Happy NaneNane Day from my Esteemed University🤩👏🎒 Admission Is in progress kindly apply now: 🖇️ oas.rucu.ac.tz🏫 (cc: )...
08/08/2025

🌻

Happy NaneNane Day from my Esteemed University🤩👏

🎒 Admission Is in progress kindly apply now: 🖇️ oas.rucu.ac.tz

🏫 (cc: )

| | 🧠

 😀Umeelewa au hadi tushike fimbo?😂😂🙌  |   |  🧠
04/08/2025

😀

Umeelewa au hadi tushike fimbo?😂😂🙌

| | 🧠

 ⚽🚨 ANTHONY MLIGO ATUA SIMBA SC KWA MIAKA MITATU!Klabu ya Soka ya Simba imefanikiwa kukamilisha usajili wa Beki wa Kusho...
04/08/2025



🚨 ANTHONY MLIGO ATUA SIMBA SC KWA MIAKA MITATU!

Klabu ya Soka ya Simba imefanikiwa kukamilisha usajili wa Beki wa Kushoto mwenye ufundii mwingi mguuni 'Anthony Mligo' kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea klabu ya Namungo yenye maskani yake huko Ruanngwa, Mkoani Lindi.

🗣️ ( cc: ) ⚽

🔔 Kipaji kikubwa ndani ya kikosi cha Wekundu wa Msimbazi🙌

| | 🧠

 ⚽🚨 SIMBA WAMEMSAJILI MCHEZAJI MWENYE VINASABA NA YANGA!!!"Huu ndio usajili pekee wa Simba sijauelewa ,huyu ni striker a...
01/08/2025



🚨 SIMBA WAMEMSAJILI MCHEZAJI MWENYE VINASABA NA YANGA!!!

"Huu ndio usajili pekee wa Simba sijauelewa ,huyu ni striker ambaye kwanza ana nasaba na watu ambao ni wapinzani wa Simba aina yake ya mpira pia sio mshambuliaji tishio ,sioni Sowah akifunga hata mabao 15 labda itokee miujiza ya Mungu"

👤Ameandika Juma Ayo Mchambuzi wa maswala ya Soka Crown FM, Tanzania.

| |

 ⚽🚨 KUSEMA KWELI SIMBA SC NI TIMU KUBWA KULIKO YANGA!!“Simba ni timu kubwa sana na inapendwa mno kule Zambia. Ukifika Za...
31/07/2025



🚨 KUSEMA KWELI SIMBA SC NI TIMU KUBWA KULIKO YANGA!!

“Simba ni timu kubwa sana na inapendwa mno kule Zambia. Ukifika Zambia, mashabiki wengi wanaifuatilia Simba na wanawajua wachezaji wake kwa majina. Sio kwamba Yanga haijulikani, ila bado haijafikia levo ya Simba kwa umaarufu na mapenzi ya mashabiki kule kwetu.”

🗣 CLATOUS Chota Chama, Kiungo wa Mpira👏

| | 🧠

 Mchambuzi maarufu na mahiri wa maswala ya Soka hapa nchini Tanzania 'Jemedari Said Kazumari' ameteuliwa na k**ati kuu y...
29/07/2025



Mchambuzi maarufu na mahiri wa maswala ya Soka hapa nchini Tanzania 'Jemedari Said Kazumari' ameteuliwa na k**ati kuu ya CCM kugombea Ubunge wa Jimbo la Mtama huko Mkoani Mtwara.

Kila la Kheri kaka, Comrade Jemedari Said Kazumari

👤 (cc: )👏

| | 🧠

 ⚽🚨 MOHAMMED BAJABER ATUA SIMBA SC KWA MIAKA MIWILI!Klabu ya Soka ya Simba imefanikiwa kukamilisha usajili wa Kiungo msh...
28/07/2025



🚨 MOHAMMED BAJABER ATUA SIMBA SC KWA MIAKA MIWILI!

Klabu ya Soka ya Simba imefanikiwa kukamilisha usajili wa Kiungo mshambuliaji mwenye uwezo wa kucheza k**a winga 'Mihammed Bajaber' kwa mkataba wa miaka miwili akitokea klabu ya Kenya Police FC ambao ndio mabingwa wa Ligi Kuu hukoo nchini Kenya.

🗣️ ( cc: ) ⚽

🔔 Kipaji kikubwa ndani ya kikosi cha Wekundu wa Msimbazi🙌

| | 🧠

 ⚽🚨CONFIRMED: AUCHO NA INONGA WASAINI SINGIDA BLACK STARS!"Henock Inonga Baka na 'Khalid Aucho' wamejiunga na Singida Bl...
28/07/2025



🚨CONFIRMED: AUCHO NA INONGA WASAINI SINGIDA BLACK STARS!

"Henock Inonga Baka na 'Khalid Aucho' wamejiunga na Singida Black Stars k**a wachezaji huru"

" Inonga amewahi kucheza Simba SC kabla ya kwenda FAR Rabat ambako hakuwa na msimu mzuri wakati Aucho yeye ameondoka Yanga baada ya mkataba kumalizika"

🗣️ Ameandika Gift Macha, Mchambuzi wa maswala ya Soka Azam TV na UFM

| | 🧠

 ⚽🚨 SIMBA WANGEMUACHA NA MUSA CAMARA PINPIN SABABU KAWAKOSESHA UBINGWA!"Kimsingi 'M***a Camara Pinpin' ndiye aliyewakose...
27/07/2025



🚨 SIMBA WANGEMUACHA NA MUSA CAMARA PINPIN SABABU KAWAKOSESHA UBINGWA!

"Kimsingi 'M***a Camara Pinpin' ndiye aliyewakosesha Simba SC Ubingwa kwa msimu huu (2024-2025) kutokana na kukosa umakini na makosa yake madogo madogo yaliyozifaidisha timu pianzani hasa wale aliokuwa akishindania nao ubingwa"

Mchezo dhidi ya Coastal Union alifanya makosa mawili na timu yake ikaadhibiwa na mechi kuisha kwa sare ya magoli 2-2. Mchezo mwingine ni dhidi ya Yanga, aliurudisha mchezoni mpira uliokuwa unatoka nje na kuisaidia Yanga kupata nao na mchezo kuisha kwa Yanga kuibuka na ushindi wa 1-0.

Ukiangalia kwa umakini hizo ni point sita wamepoteza ambazo zilkuwa na uwezo wa kuwapa Ubingwa kwa msimu huu. Hivyo kwa maoni yangu nafikiri na yeye anapaswa kuachwa na Simba kutafuta golikipa mwingine bora na makini zaidi yake"

🗣️ Ameandika Alex Ngereza, Mchambuzi mahiri na mbobevu wa maswala ya Michezo kutoka TV3 Tanzania.

| | 🧠

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ammy Reporter posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ammy Reporter:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share