Hatushindwi kwa sababu hatuna uwezo ila tunashindwa kwa sababu kuna watu nje yetu tunaopambana wanahitaji matokeo ya kushindwa kwetu kuliko kushinda kwetu hivyo hata tunapoumizwa tunaonekana si lolote. K**A MPIRA WA TANZANIA NA WAAMUZI WETU NDIYO HAWA TUTASUBIRI SANA.
14/09/2025
Kumbe ni wewe ee..........
29/06/2025
Hii ni miamba na juu ya miamba hii Mungu atalijenga kanisa na wala milango ya kuzimu haitaishinda . Baba na mwana tunawatakia Dominika njema.
13/06/2025
Miongoni mwa watu wenye busara na wataka maendeleo ktk kijiji cha bugenika. Mwite tajiri mazuguni
Be the first to know and let us send you an email when Dira na hekima yangu. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.