Global Connect Hub

  • Home
  • Global Connect Hub

Global Connect Hub Connecting you to tech, business, sports,travel, security & inspiration – globally

🚨🚨 BREAKING: Yanga wamekubali $900,000 (tsh 2,246,359,212) kumuuza Mzize kwenye klabu ya Al-Sadd SC ya Qatar.Yanga wamek...
04/08/2025

🚨🚨 BREAKING: Yanga wamekubali $900,000 (tsh 2,246,359,212) kumuuza Mzize kwenye klabu ya Al-Sadd SC ya Qatar.

Yanga wamekubali kumuuza Mzize ila Wasimamizi wa mchezaji wanataka mshahara wa $50,000 (tsh 124,797,734) kwa mwezi.

Al Sadd wako tayari kutoa mshahara wa $30,000 (tsh 75,256,380) kwa mwezi ila Mzize anataka $50,000.

So far dili la Mzize linakwamishwa na wasimamizi wake ila Yanga wako tayari kumuuza.

04/08/2025
16/07/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Mhlakazanhlansi Carlipper KwaNongoma, Ahmed Abdelaziz

🚨 𝐁𝐫𝐞𝐚𝐤𝐢𝐧𝐠:Romain Folz is set to be appointed as new head coach of Tanzanian giants Young Africans.
16/07/2025

🚨 𝐁𝐫𝐞𝐚𝐤𝐢𝐧𝐠:
Romain Folz is set to be appointed as new head coach of Tanzanian giants Young Africans.


Algerian giants MC Alger have officially appointed South African coach Rhulani Mokwena as their new head coach on a two-...
15/07/2025

Algerian giants MC Alger have officially appointed South African coach Rhulani Mokwena as their new head coach on a two-year deal. 💚❤️

HALF- TIME 🥅
13/07/2025

HALF- TIME 🥅

🚨Fifa Club World Cup Final!!!!🇫🇷 PSG vs Chelsea 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿📅 Sunday, 13 July🏟️ MetLife Stadium⏰ Kick-off: 21H00💰 Champions t...
12/07/2025

🚨Fifa Club World Cup Final!!!!

🇫🇷 PSG vs Chelsea 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
📅 Sunday, 13 July
🏟️ MetLife Stadium

⏰ Kick-off: 21H00

💰 Champions take home $40M (R711M)
💰 Runners-up walk away with $30M (R534M)

Massive stakes. One final battle. Who’s lifting the trophy? 🏆👀

BREAKING 🚨Aziz Ki amejiunga rasmi na Wydad ✅K**a nilivyo tipoti mwanzo Yanga walimtoa Aziz kwa mkopo wenye kipengele cha...
08/07/2025

BREAKING 🚨Aziz Ki amejiunga rasmi na Wydad ✅

K**a nilivyo tipoti mwanzo Yanga walimtoa Aziz kwa mkopo wenye kipengele cha kumuuza mazima Wydad kabla ya 10/07/2025.

Baada ya kuwepo sintofahamu leo Rasmi Wydad wametuma barua Yanga ya “ku-trigger” kipenge cha kumnunua mazima Stephane Aziz Ki na Yanga wamekubali hivyo Aziz amejiunga Rasmi na Wydad.

Biashara ya Aziz imekamilika na Yanga wameingiza 1.7bilion.

Kıla kitu kimekamilika Aziz atabaki Wydad….its a deal done✅

Follow us 🌎Global Connect Hub

🚨 Al Ahly have asked Al Rayyan for $10 million to sell Wissam Abu Ali.• No official response yet from the Qatari side, a...
07/07/2025

🚨 Al Ahly have asked Al Rayyan for $10 million to sell Wissam Abu Ali.

• No official response yet from the Qatari side, and no talks held today.

• A deal at that price would represent a major gain for Al Ahly.

(Source: Amir Hesham)

Follow us Global Connect Hub

.FT: PSG 🇨🇵 2-0 🇩🇪 BAYERN MUNCHEN76’—⚽️ Desire Doue90’+7—⚽️ Osmane Dembele82’—🟥 Wilian Pacho90’+2—🟥 Lucas HernandezRIP D...
05/07/2025

.
FT: PSG 🇨🇵 2-0 🇩🇪 BAYERN MUNCHEN
76’—⚽️ Desire Doue
90’+7—⚽️ Osmane Dembele

82’—🟥 Wilian Pacho
90’+2—🟥 Lucas Hernandez

RIP Diogo Jota 🫡🥲

follow US Global Connect Hub 🌎

RESULTS 🌎
05/07/2025

RESULTS 🌎

Updates 🚨 Aziz Ki anukia tena Jangwani✍️Aziz Ki anatarajia kurejea jangwani kabla ya 10/7/2025 ili kuendelea na majukumu...
04/07/2025

Updates 🚨 Aziz Ki anukia tena Jangwani✍️

Aziz Ki anatarajia kurejea jangwani kabla ya 10/7/2025 ili kuendelea na majukumu Yake ya kila siku ya kuitumikia Yanga.

K**a nilivyoripoti june 27 Aziz alijiunga na Wydad kwa mkopo wa miezi miwili wenye kipengele cha kununuliwa moja kwa moja kwa Tsh 1.7b kabla ya tarehe 10/7/2025,endapo Wydad watashawishika na kiwango chake…..au Aziz atarudi Yanga Kisha Wydad watalipa $150,000 (tsh 395,804,785) K**a ada ya mkopo wa miezi miwili.

Ikumbukwe Wydad walimuhitaji sana Aziz kwa ajili ya FIFA Club World Cup.

Taarifa zilizonifikia kocha wa Wydad amependekeza nyota huyo kurudi Yanga ili Wydad waendelee na sajili nyingine.

Aziz anarudi Tanzania kisha Yanga wanaweka $150,000 mfukoni k**a ada ya mkopo na maisha yanaendelea.

İli kujua zaidi follow

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Global Connect Hub posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share