Dodomafm

Dodomafm DODOMA FM
Is a local radio station with community content has grown to
be one of the leading radio station in central region.

This is what we do:-
create good programs,
drama,
radio jingles,
PA,
We also have 5 billboards

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imekamilisha kikao chake cha Oktoba 27, 2025 na kutoa maamuzi muhimu kuhusu matukio mba...
28/10/2025

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imekamilisha kikao chake cha Oktoba 27, 2025 na kutoa maamuzi muhimu kuhusu matukio mbalimbali ya Ligi Kuu na Championship.

Ligi Kuu ya NBC:

Fountain Gate FC 1-0 Dodoma Jiji: Mwamuzi Shomari Lawi ameondolewa kuendesha mechi mizunguko 5 kwa kushindwa kutafsiri sheria za mpira vizuri. Mchezaji Lamela Maneno amefungiwa mchezo 1 kwa kadi za njano.

Dodoma Jiji vs Pamba Jiji: Pamba Jiji imepewa ushindi wa 1-0 baada ya Dodoma Jiji kushindwa kuandaa mchezo kikamilifu. Shabiki Dinani Malugu amefungiwa miezi 6 kwa kutoa lugha ya kashfa dhidi ya TFF.

Faini kwa Klabu:

Mtibwa Sugar: Sh. 20,000,000 kwa kucheza michezo 4 bila kocha mkuu mwenye ujuzi.

TRA United: Sh. 15,000,000 kwa kucheza michezo 3 bila kocha mkuu mwenye ujuzi.

Ligi ya Championship ya NBC:

Kagera Sugar FC 2-1 Barberian FC: Klabu imetozwa faini ya Sh. 1,000,000 kwa kuchelewa kuwasilisha uwanjani.

African Sports SC 1-0 B19 FC: Daktari wa klabu, Mohamed Lukuwa, amefungiwa michezo 3 na alipe Sh. 500,000 kwa kumpiga mchezaji wa B19, Ramadhani Omary.

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania inasisitiza umuhimu wa kufuata sheria na taratibu za mashindano ili kuhakikisha Ligi inakuwa shindano safi na huru.




Kipindi hewani ni Kapu Kubwa kikiendeshwa na Mwalimu wa Jamii,Neema Chaopa wakiwa na Djsillas .Ambapi mada husika ya leo...
28/10/2025

Kipindi hewani ni Kapu Kubwa kikiendeshwa na Mwalimu wa Jamii,Neema Chaopa wakiwa na Djsillas .
Ambapi mada husika ya leo ni K**a kila deni moja ulilonalo lingekuwa na thamani ya milioni moja ungekuwa na milioni ngapi mpaka sasa?
Sikiliza kupitia 98.4 Dodomafm

Jeshi la Polisi linaendelea kuwahakikishia kuwa kuna usalama wa kutosha tunapoelekea kesho terehe 29.10.2025 siku ya kup...
28/10/2025

Jeshi la Polisi linaendelea kuwahakikishia kuwa kuna usalama wa kutosha tunapoelekea kesho terehe 29.10.2025 siku ya kupiga kura, kwani hakuna tishio lolote la kiusalama k**a tulivyowahakikishie oktoba 25, 2025.

Mkiona taarifa k**a hizo kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vingine vya habari vilivyo andaliwa na watu hao wenye nio ovu na amani ya taifa letu mtambue kuwa ni za uongo, uzushi na za kutaka kutuchonganisha na kutugombanisha.

Kipindi hewani ni Mchezo babkubwa kikiendeshwa na Hamisi  Makira pamoja na Nahodha Mstaarab kukujuza habari za michezo n...
28/10/2025

Kipindi hewani ni Mchezo babkubwa kikiendeshwa na Hamisi Makira pamoja na Nahodha Mstaarab kukujuza habari za michezo ndani na nje ya nchi.
Sikiliza kupitia 98.4 Dodomafm

JAKPOTI IMEENDA!TZS 3,026,900 ya LOTTO PLUS 1 imeenda kwa mshiriki aliyecheza kupitia USSD.Unangoja nini? Cheza sasa kwa...
28/10/2025

JAKPOTI IMEENDA!
TZS 3,026,900 ya LOTTO PLUS 1 imeenda kwa mshiriki aliyecheza kupitia USSD.
Unangoja nini? Cheza sasa kwa kupiga *149*88 # SASA.
Wafatilie ili kujua zaidi.

18+. Cheza Kistaarabu. ITHUBA ni mwendeshaji rasmi wa Bahati Nasibu ya Taifa.

Kipindi hewani ni Kapu Kubwa kikiendeshwa na Mwalimu wa Jamii akiwa na Dj Sillas.Ambapo mada ya leo inahusiana na Je, uk...
27/10/2025

Kipindi hewani ni Kapu Kubwa kikiendeshwa na Mwalimu wa Jamii akiwa na Dj Sillas.
Ambapo mada ya leo inahusiana na Je, ukihamia mtaa mpya unachukuwa muda gani kuanza kukopa kwenye maduka?
Sikiliza kupitia 98.4 Dodomafm

🎉 AMESHINDA!Kamechisha NAMBA 4 tu kwenye droo ya LOTTO PLUS 1 ameondoka na TZS 3,102,700.Na wewe unaweza kuwa MSHINDI, c...
27/10/2025

🎉 AMESHINDA!
Kamechisha NAMBA 4 tu kwenye droo ya LOTTO PLUS 1 ameondoka na TZS 3,102,700.
Na wewe unaweza kuwa MSHINDI, cheza sasa kwa kupiga *149*88 #.
Wafatilie ili kujua zaidi.

18+. Cheza Kistaarabu. ITHUBA ni mwendeshaji rasmi wa Bahati Nasibu ya Taifa.

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),   , imeahirishwa hadi Novemba 3, ...
24/10/2025

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), , imeahirishwa hadi Novemba 3, 2025, baada ya upande wa Jamhuri leo, Oktoba 24, 2025, kueleza kuwa hawakuwa na shahidi wa nne katika kesi hiyo inayosikilizwa katika Mahak**a Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutumia mamlaka aliyonayo chini ya sheria ya sikuk...
24/10/2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutumia mamlaka aliyonayo chini ya sheria ya sikukuu za kitaifa sura ya 35, ameidhinisha October 29, 2025 kuwa siku ya mapumziko ili kuwawezesha Wananchi kupiga kura, taarifa hiyo imetolewa leo October 24,2025 na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka.




SASAMPA KWENDA MBELE!!!Kwa TZS 2,000, Brenda ameshinda TZS 3,140,900 kwenye LOTTO PLUS 1- mchezo wa Bahati Nasibu ya Tai...
24/10/2025

SASAMPA KWENDA MBELE!!!
Kwa TZS 2,000, Brenda ameshinda TZS 3,140,900 kwenye LOTTO PLUS 1- mchezo wa Bahati Nasibu ya Taifa!
Nunua tiketi yako sasa kwa WAKALA aliye karibu nawe.
Wafatilie ili kujua zaidi.

18+. Cheza Kistaarabu. ITHUBA ni mwendeshaji rasmi wa Bahati Nasibu ya Taifa.

Kipindi hewani ni Kapu Kubwa kikiendeshwa na Neema Chaopa pamoja na Joseph Gontako.Ambapo mada ya leo inahusiana na Je,m...
23/10/2025

Kipindi hewani ni Kapu Kubwa kikiendeshwa na Neema Chaopa pamoja na Joseph Gontako.
Ambapo mada ya leo inahusiana na Je,marafiki zako wanakuunganisha na michongo au tukuache?
Sikiliza kupitia 98.4 Dodomafm

Kipindi hewani ni Michezo Babkubwa kikiendeshwa na  Makira Jr.  pamoja na @ Fjel  kukujuza habari za michezo ndani na nj...
23/10/2025

Kipindi hewani ni Michezo Babkubwa kikiendeshwa na Makira Jr. pamoja na @ Fjel kukujuza habari za michezo ndani na nje ya nchi.
Sikiliza kupitia 98.4 Dodomafm

Address

Miuji Proper

41106

Opening Hours

Monday 07:00 - 17:45
Tuesday 07:00 - 17:45
Wednesday 07:00 - 17:45
Thursday 07:00 - 17:45
Friday 07:00 - 17:45
Saturday 07:00 - 17:45
Sunday 07:00 - 17:45

Telephone

+255767244704

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dodomafm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dodomafm:

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share