22/07/2025
Zabibu ni tunda lenye mvuto wa kipekee linalotumiwa duniani kote kwa njia mbalimbali. Iwe ni kuliwa k**a tunda bichi, kutengeneza mvinyo au kukaushwa. Kila mtu na matumizi yake.
Tunda hili dogo liko katika mnyororo wa thamani wa tamaduni za chakula, afya na biashara, likiwa chanzo kizuri cha lishe, nishati na hata kipato kwa wakulima.