MSpörts 10

MSpörts 10 Storyteller ⚽

16/07/2025

Tofauti ya Matajiri wawili wa Vilabu vya Simba SC Tanzania na Young Africans Sports Club .




16/07/2025

Mnaikumbuka hii?





I've just reached 3K followers! Thank you for continuing support. I could never have made it without each one of you. 🙏🤗...
11/07/2025

I've just reached 3K followers! Thank you for continuing support. I could never have made it without each one of you. 🙏🤗🎉



🚨Manchester United bado ndio klabu inayoongoza kwa nafasi ya kumsajili Emiliano Martinez!Kila kitu kitategemea mauzo ya ...
25/06/2025

🚨Manchester United bado ndio klabu inayoongoza kwa nafasi ya kumsajili Emiliano Martinez!

Kila kitu kitategemea mauzo ya Andre Onana, lakini vyanzo vinasema kuwa Manchester United wako makini sana katika kumfuatilia Emiliano Martinez kwani wanamchukulia k**a mmoja wa makipa bora waliopo sokoni kwa sasa.

Source : GiveMeSport




Anaitwa Leo Messi  ambae alizaliwa tarehe 24 June 1987 huko Rosario, Argentina na leo anafikisha umri wa miaka 38. Messi...
24/06/2025

Anaitwa Leo Messi ambae alizaliwa tarehe 24 June 1987 huko Rosario, Argentina na leo anafikisha umri wa miaka 38. Messi ndie mchezaji mwenye idadi kubwa zaidi ya mataji (46) katika historia ya mpira wa miguu ikiwa ni pamoja na La Liga – 10 (Barcelona), Champions League – 4 (Barcelona), Copa del Rey – 7, Supercopa de España – 8, Ligue 1 – 2 (PSG), Leagues Cup – 1 (Inter Miami), Supporters’ Shield – 1 (Inter Miami), World Cup – 1 (Argentina, 2022), Copa América – 2 (2021, 2024), Club World Cup, Finalissima, Olympic Gold U‑23, U‑20 World Cup nk.

Happy Birthday LapulGa... King him self 🤴.








Amefikisha Jumla ya Magoli 866.Magoli 68 ya free kick.Magoli 50 akiwa na Inter Miami.Asisst 384Amehusika kwenye Jumla ya...
19/06/2025

Amefikisha Jumla ya Magoli 866.

Magoli 68 ya free kick.

Magoli 50 akiwa na Inter Miami.

Asisst 384

Amehusika kwenye Jumla ya Magoli 1250

Na ni Man Of The Match.

FT : Inter Miami 2-1 FC Porto.





  & Leo Messi 😍
12/06/2025

& Leo Messi 😍

Sikia Hii kuhusu Cristiano Ronaldo dhidi ya Leo Messi .Wakati Messi alishinda Balón d'Or yake ya 5, Ronaldo alikuwa na V...
07/06/2025

Sikia Hii kuhusu Cristiano Ronaldo dhidi ya Leo Messi .

Wakati Messi alishinda Balón d'Or yake ya 5, Ronaldo alikuwa na Viatu vingi zaidi vya dhahabu vya Ulaya kuliko Messi. Ronaldo alisema kuwa Kiatu cha Dhahabu ni bora kuliko Balón d'Or kwa sababu haitaji kura za mtu yeyote. Messi aliendelea kushinda Viatu 2 zaidi vya dhahabu kuliko yeye.

Wakati Ronaldo alipoaza kushinda Tuzo za kimataifa Messi hakuwa na Tuzo za kimataifa, Ronaldo alisema kuwa shujaa wa kweli ni yule anayeshinda kwa ajili ya nchi yake. Messi aliendelea kushinda Tuzo 2 zaidi ya yeye ikiwemo Tuzo ya mchezaji bora wa dunia pamoja na Kombe la Dunia.

Vile vile, Wakati Ronaldo baada ya kushinda Balón d'Ors 5, alisema angependa kushinda 6, 7, 8, zaidi juu ya Messi (tuzo ile ile aliyosema inategemea kura). Messi aliendelea kushinda Tuzo 3 zaidi kuliko yeye na kuwa na Jumla ya Tuzo 8.

Baada ya Messi kumpiga kwa kushinda Tuzo 3 zaidi za Balón d'Ors, Ronaldo alisema tuzo hiyo ilipoteza uaminifu.

Na sasa Ronaldo Anasema yeye anamini anayeshinda UEFA Champions league ndie anastahili kupata Tuzo hiyo akisahau kuwa mnamo mwaka 2013 hakushinda kombe lolote kuu na alipewa Tuzo hiyo dhidi ya Franck Ribéry ambae aliisaidia Bayern Munich kushinda makombe 5 ikiwemo Bundesliga, DFB-Pokal, na UEFA Champions League.







Argentina ya Lionel Messi sasa ndio timu ya mpira wa miguu Namba 1 ulimwenguni, kulingana na takwimu za hivi karibuni zi...
07/06/2025

Argentina ya Lionel Messi sasa ndio timu ya mpira wa miguu Namba 1 ulimwenguni, kulingana na takwimu za hivi karibuni zilizochapishwa na FIFA!

Via : (Score90 )






Address

Zanzibar City

Telephone

+255774354444

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MSpörts 10 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share