Mwamba Five

Mwamba Five M w a m b a f i v e
Youtube | Facebook Tiktok | Instagram Content Creators | Sports | Entertainments & Voice Over🎙

22/12/2025

Hili hapa Goli la Salah Kwa Egypt
Ambalo limeimaliza mechi ya
Egypt 2 vs 1 Zimbabwe
AFCON 2025 Morocco


Follow Kwa habari na matukio mbalimbali

Mchezo umemalizika Kwa dakika zote 90"Full Time Egypt 2 vs 1 Zimbabwe Afcon 2025 Morocco  Follow  Kwa habari na matukio ...
22/12/2025

Mchezo umemalizika Kwa dakika zote 90"

Full Time
Egypt 2 vs 1 Zimbabwe
Afcon 2025 Morocco


Follow Kwa habari na matukio mbalimbali

22/12/2025

Dakika ya 64" Misri Wana sawazisha hapa
Egypt 1-1 Zimbabwe
Afcon 2025 Morocco


Follow Kwa habari na matukio mbalimbali

Half TimeEgypt (Misri) 0-1 Zimbabwe Goli la price dube Bado limeendelea akisimama katika mchezo huu Toka alipo ifungia T...
22/12/2025

Half Time
Egypt (Misri) 0-1 Zimbabwe

Goli la price dube Bado limeendelea akisimama katika mchezo huu Toka alipo ifungia Timu yake ya taifa ya Zimbabwe
Afcon 2025


Follow Kwa habari na matukio mbalimbali

22/12/2025

Prince Dube Mchezaji wa yanga
Anaitanguliza timu yake ya taifa ya Zimbabwe Kwa kuipatia goli la kwanza dakika ya 20

Egypt 0-1 Zimbabwe

Afcon 2025

Follow Kwa habari na matukio mbalimbali

22/12/2025

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amewataka wachezaji na benchi la ufundi la Taifa Stars kujituma na kujitoa kwa ajili ya kulitumikia Taifa, akiwahimiza kupuuza maneno yanayoweza kuwakatisha tamaa.

Makonda amesema hayo leo Desemba 22, 2025, katika Hoteli ya Barcelo iliyoko katika mji wa Fez, ambako Taifa Stars imeweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo huo dhidi ya Super Eagles ya Nigeria.


Follow Kwa habari na matukio mbalimbali ya

Full Time South Africa 2-1 Angola   Follow  Kwa habari na matukio mbalimbali
22/12/2025

Full Time
South Africa 2-1 Angola



Follow Kwa habari na matukio mbalimbali

22/12/2025

Dakika ya 79 kipindi cha pili
South Africa 2-1 Angola



Follow Kwa habari na matukio mbalimbali

Kipindi cha kwanza kimemalizika Kwa sare South Africa 1-1 Angola   Follow  Kwa habari na matukio mbalimbali
22/12/2025

Kipindi cha kwanza kimemalizika Kwa sare
South Africa 1-1 Angola



Follow Kwa habari na matukio mbalimbali

Full Time Mali 1 vs 1 Zambia Afcon 2025  Follow  Kwa habari na matukio mbalimbali
22/12/2025

Full Time
Mali 1 vs 1 Zambia
Afcon 2025


Follow Kwa habari na matukio mbalimbali

22/12/2025

Kauli ya kocha wa Taifa stars
Miguel Gamondi AKIZUNGUMZA kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Nigeria fainali za AFCON 2025


Follow Kwa habari na matukio mbalimbali

22/12/2025

Mbwana Samatta akizungumza kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Nigeria fainali za AFCON 2025


Follow Kwa habari na matukio mbalimbali

Address


Telephone

+255755467901

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwamba Five posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share