Tanzania Tech is the leading source of technology news, reviews, and information in Tanzania.
Welcome to Tanzania Tech, the leading technology media platform in Tanzania. Our mission is to empower our users with the latest information, resources, and tools in the dynamic world of technology. We strive to deliver the most relevant and up-to-date content to our audience, ensuring that they stay informed and make well-informed decisions. Since our inception, Tanzania Tech has been dedicated t
o providing comprehensive and accurate information on various technology-related topics, including smartphones, laptops, software, gadgets, and internet services. Our team of experienced and passionate professionals works tirelessly to bring you the latest news, reviews, and insights from the rapidly evolving tech industry. Our audience consists of tech enthusiasts, professionals, and everyday users seeking reliable and trustworthy information about the latest technological advancements. We understand that our users have diverse needs and interests, which is why we cover a wide range of topics, from consumer electronics to enterprise solutions and emerging technologies. At Tanzania Tech, we pride ourselves on our commitment to journalistic integrity and ethical reporting. Our editorial team adheres to strict guidelines and ensures that all content is unbiased, accurate, and relevant. We constantly update our platform to ensure that our users have access to the latest information and developments in the tech industry. In addition to our news and reviews, Tanzania Tech also offers a platform for users to engage with our content and each other. Our community forums provide a space for users to discuss, share, and learn from one another, fostering a sense of camaraderie and collaboration among our readers. As Tanzania’s premier technology media platform, we are committed to supporting the growth of the local tech ecosystem. We actively collaborate with industry stakeholders, including startups, tech companies, and educational institutions, to promote innovation and drive progress in the technology sector. Thank you for choosing Tanzania Tech as your trusted source for technology news, reviews, and insights. We are dedicated to serving our users and ensuring that they have the information and resources they need to navigate the ever-evolving world of technology.
Kampuni ya Airtel imetangaza kuwasha mkongo wa mawasiliano unaopita baharini wa 2Africa, hatua hii italeta mabadiliko chanya katika huduma ya intaneti Tanzania.
Uzinduzi huo uliongozwa na Rais Dr Samia Suluhu Hassan, Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Africa Segun Ogunsanya, pamoja na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari mheshimiwa Nape Nnauye.
Mkongo huu wa mawasiliano unaongeza ufanisi katika upatikanaji wa intaneti yenye kasi na hivyo kufungua fursa zaidi katika elimu, biashara na sekta ya mawasiliano kwa watanzania.
Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Tech posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.
Want your business to be the top-listed Media Company?
Share
Kuhusu Sisi
Tanzania Tech ni Tovuti ya Habari na Mafunzo Mbalimbali ya Teknolojia. Tovuti hii ilianzishwa mwaka 2016 hapa Tanzania kwa lengo moja kubwa la kufikisha habari na mafunzo mbalimbali ya teknolojia kwa jamii kwa lugha ya Kiswahili, vile vile tovuti ya Tanzania Tech inasaidia jamii kuelewa kwa ndani kabisa kuhusu teknolojia mpya kutoka ndani na nje ya Tanzania, yote hayo kupitia lugha moja tu ya Kiswahili.
Mpaka sasa tovuti ya Tanzania Tech inawafikia watu mbalimbali kutoka nje na ndani ya mipaka ya Tanzania huku ikifanikiwa kufikisha habari na taarifa zote kwa wana jamii wote waishio kwenye mipaka hiyo. Bado tunaendela kuboresha tovuti yetu pamoja na kuongeza vipengele vipya ili kuhakikisha kuwa hupitwi na habari yoyote ya teknolojia kutoka ndani au nje ya Tanzania na Afrika kwa ujumla.
TANZANIA TECH KWENYE MITANDAO MINGINE
Tanzania Tech inaptikana kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, unaweza kutupata kote kwa kubofya hapo chini.
K**a unataka kupata Habari zote za Teknolojia kwa Haraka unaweza Kudownload App ya Tanzania Tech Kupitia Play Store. Tume tengeneza App ya Tanzania Tech kwa ubora wa hali ya juu ili kukidhi haja ya wasomaji wetu wote, App hii ni rahisi sana kutumia na mtu yoyote ataweza kuitumia bila kutegemea kuwa na ujuzi maalum wa kutumia simu.
Tunashukuru kwa kutembelea ukurasa wetu wa Facebook, k**a una maswali au hata ushauri usisite kutuandikia kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano nasi tuna ahidi kujibu au kufanyia kazi ushauri wako au maoni yako kwa wakati.
Asante na endelea kutembelea Tanzania Tech kila siku.