Mhina tz

Mhina tz Digital Media with form of social media online platform in Tanzania& Eastern Africa Ytb - Mhinatv
Sports & Entertainment storie
Tangaza nas 0767959585

14/05/2026
TUZO ZA BMT | Tuzo ya klabu bora kwa wanaume imekwenda kwa Simba Sc.Tuzo hiyo imekabidhiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Haba...
09/05/2026

TUZO ZA BMT | Tuzo ya klabu bora kwa wanaume imekwenda kwa Simba Sc.

Tuzo hiyo imekabidhiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa na kupokewa na Afisa Mtendaji wa Simba SC, Zubeda Sakuru.

Stumai ni mchezaji wa JKT Queens na Timu ya Taifa ya Wanawake.

NI Tuzo za Baraza la Michezo la Taifa zinazofanyika katika Ukumbi wa The Super Dome Masaki jijini Dar es Salaam.

Tuko LIVE kupitia

📸

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mhina tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mhina tz:

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share