
08/09/2025
Maana sijui nifanyalo, kwa sababu lile nilipendalo, silitendi; bali lile nilichukialo ndilo ninalolitenda
Kifungu hichi Cha biblia kina akisi kabisa ukweli kuhusi maisha Yako ambayo una ishi kwa Sasa, mambo mengi ambayo unayafanya siyo kwamba hufahamu kuwa ni mabaya, ila Kuna nguvu hushindana na Nia Yako njema katika kutenda na unajikuta unafanya yaliyo maovu sana katika maisha Yako.
Umalaya, uzinzi, wizi, utapeli na mambo mabaya yanayo fanana na hayo, inawezekana kabisa usiwe kuyatenda k**a utaamini kuwa Yesu kristo ana uwezo wa kubadilisha haya, k**a unahitaji msaa wa kuondoka na kukaa mbali na ivyo vifungu, comment shida yako na nitakuombea
0693945059