Kusini Digital

Kusini Digital HABARI; TUNATOA HUDUMA YA USIMAMIZI WA MATUKIO NA UZALISHAJI MAHUDHUI (CONTENT & EVENTS MANAGEMENT)

 Afternoon session.... 9/9Matengoland💝💝Send Off ya Binti Lupembe, Malkia wa maana kabisa, mrembo wa kuitwa Asumptha!It w...
14/09/2025


Afternoon session.... 9/9
Matengoland💝💝

Send Off ya Binti Lupembe,
Malkia wa maana kabisa, mrembo wa kuitwa Asumptha!
It was massive, a blessing indeed!
Ahsanteni kamati kwa kuniamini MC mimi

Mkumbi nitarudi
🙏
MC Nasibu Maps ✍️
Kusini Digital....
Picture: Hamo Studio
Unaonaje mwonekano wa picha

Call of Duty _________MC Nasibu Mapunda Kusini Digital Mkumbi... nitarudi Tena!!!🙏🙏Isaya 6:8 Kisha nikaisikia sauti ya B...
11/09/2025

Call of Duty
_________
MC Nasibu Mapunda
Kusini Digital
Mkumbi... nitarudi Tena!!!
🙏🙏

Isaya 6:8
Kisha nikaisikia sauti ya Bwana, akisema, Nimtume nani, naye ni nani atakayekwenda kwa ajili yetu? Ndipo niliposema, Mimi hapa, nitume mimi....🙏

Nasibu Maps ✍️
Karibu sana... Niko tayari kuwahudumia

AHSANTE SANA
03/09/2025

AHSANTE SANA

01/09/2025
 Uchumi Gala Awards Eti nini.... Mbona raha!FamiliaaaaaaaaaaOda zote za uMC kwenye tukio lakoHarusi|Kipaimara|Ubarikio|S...
01/09/2025


Uchumi Gala Awards
Eti nini.... Mbona raha!
Familiaaaaaaaaaa

Oda zote za uMC kwenye tukio lako
Harusi|Kipaimara|Ubarikio|Send off et al🔥📸

MC Nasibu Maps
0748128623
Inbobo me ASAP
tufanye kazi
Acha watu wafurahi

NM✍️

 MC Bora wa KiumeUCHUMI GALA AWARDS 2025
31/08/2025


MC Bora wa Kiume
UCHUMI GALA AWARDS
2025

31/08/2025
YES
29/08/2025

YES

UNAKOSAJE30/8
29/08/2025

UNAKOSAJE
30/8

Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe. Kisare Makori ameongoza kikao cha maandalizi ya maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima ( Nane ...
05/06/2025

Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe. Kisare Makori ameongoza kikao cha maandalizi ya maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima ( Nane Nane) Mkoa wa Ruvuma kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga tarehe 05 Agosti 2025.
Maadhimisho ya NANENANE 2025 kimkoa, yatafanyika katika viwanja vya NANE NANE vilivyopo kijiji cha Amanimakoro - Mbinga

Source: Habari (Mbinga DC)

AMEN....DEAL DONE
30/05/2025

AMEN....

DEAL DONE

Address

Mbinga Mjini
Mbinga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kusini Digital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kusini Digital:

Share