Swahilifilms Tanzania

  • Home
  • Swahilifilms Tanzania

Swahilifilms Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Swahilifilms Tanzania, Film/Television studio, .

This page is under...
FILMS FOR CHANGE COMPANY LTD
Film production company
Casting Agency
Filmmaking Clinic
The company that helps filmmakers and actors to fulfill their dreams

14/10/2025

What a manager... You're the best Ruckhusana Mhagama. Kwenye project ya filamu ya Koti Jeupe ilikuwa ni mara yetu ya kwanza kufanya kazi na wewe na hatujajutia, kila kitu kilikuwa mahali pake kwa mujibu wa ratiba.
Stay blessed

14/10/2025

The 1st Assistant Director kwenye project ya filamu ya Koti Jeupe, Yusuf Funga a.k.a Muungwana.
Tunajivunia kazi kubwa sana uliyoifanya hadi filamu kukamilika. Umejitoa sana kwenye hili, Mungu akubariki!

14/10/2025

Jordan Nnko, the 2nd Assistant Director kwenye project ya filamu ya Koti Jeupe uliyewakilisha vyema mtazamo wa kizazi kipya katika tasnia ya filamu Tanzania. Hiki kizazi chenu kitatufikisha mchi ya ahadi.
Keep it up

14/10/2025

Editor Mtata Classic, umenyoosha sana kazi ya filamu ya Koti Jeupe. Mzigo unatembea utadhani haujaeditiwa.
Umefanya kazi kubwa sana japo na minyama umejipakulia🤣🤣

14/10/2025

Mkali wa BTS, Fauz Mohamed.
Umejitoa sana kwa ajili ya project ya filamu ya Koti Jeupe.
Tunajivunia wewe

14/10/2025

Fatma Msengi, uwezo wake ni mkubwa sana kwenye wardrobe & continuity. Umefanya kazi nzuri sana kwenye project ya filamu ya Koti Jeupe, Mungu akubariki.

14/10/2025

Njagawena mtu m-bad, Jamal Kasinde au Msasa Classic. Pamoja na kuigiza k**a mvuvi Kombo kwenye filamu ya Koti Jeupe, alisimama k**a Casting Manager kuhakikisha kila husika inapata mwigizaji wa maana.

14/10/2025

Kijana mpya toka UDSM, Samson Ntibani alisimama k**a Production Designer kwenye project ya filamu ya Koti Jeupe.

Mkali wa Sound, Raphael John.Pamoja na filamu ya Koti Jeupe kushutiwa kwenye mazingira magumu yenye kelele, huyu mwamba ...
14/10/2025

Mkali wa Sound, Raphael John.
Pamoja na filamu ya Koti Jeupe kushutiwa kwenye mazingira magumu yenye kelele, huyu mwamba alihakikisha hatukosi neno lolote.

14/10/2025

Mkali wa sound, Raphael John.
Tumeshutia filamu ya Koti Jeupe katika mazingira magumu ya kelele lakini huyu mwamba kuhakikisha hakuna neno ambalo halikusikika.

14/10/2025

Huyu mtu ni mwamba sana kwenye taa (Gaffer), anaitwa Menas Nyosole. Kwenye project ya filamu ya Koti Jeupe kapiga sana ma-light.
Tunajivunia sana wewe Mena Menas

Innocent Obinya, mkuu wa vifaa. Kwenye project ya filamu ya Koti Jeupe, kila kitu kilikuwa mahali pake kinapistahili kuw...
14/10/2025

Innocent Obinya, mkuu wa vifaa.
Kwenye project ya filamu ya Koti Jeupe, kila kitu kilikuwa mahali pake kinapistahili kuwa kwa wakati wake na vyote vilirudi salama ofisini.

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swahilifilms Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Swahilifilms Tanzania:

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share