Mwananchi Scoop

  • Home
  • Mwananchi Scoop

Mwananchi Scoop A Swanglish Digital Platform for University Students. Magazine is published Mon - Fri, on M-Paper, eGazeti, Magzter, Mwananchi & Mwanaspoti

We cover stories on Work & Skills, Business & Money Management, Technology, Health, Entertainment and Storytelling.

Ifahamu Nchi Yenye Watu 30
10/07/2025

Ifahamu Nchi Yenye Watu 30

K**a ulikuwa hujui basi leo nakujuza zaidi, kuna nchi ndogo zaidi duniani iitwayo Molossia, ambayo imekuwa ikiwavutia wengi kufuatia na utawala pamoja...

Mzee Kikala: Nina watoto wengi kuliko wa kwenye Kombolela
10/07/2025

Mzee Kikala: Nina watoto wengi kuliko wa kwenye Kombolela

Wakati baadhi ya watu wakimuhurumia Mzee Kikala wa kwenye tamthilia ya ‘Kombolela’ kwa mtihani anaopitia kwa kuwa na watoto wengi wasiokuw...

Ndoto Za Akon Kujenga Mji Wake Zaota Mbawa
10/07/2025

Ndoto Za Akon Kujenga Mji Wake Zaota Mbawa

Ndoto ya msanii na mwigizaji Akon Thiam ya kujenga mji wa kisasa nchini Senegal imeota mbawa baada ya serikali nchini humo kuchukua eneo hilo walilomp...

Mfahamu Mike ambaye sauti yake inatamba kwenye Kombolela
10/07/2025

Mfahamu Mike ambaye sauti yake inatamba kwenye Kombolela

Mwanamuziki Michael James ‘Mike Song’ ameeleza namna tamthilia ya Kombolela na Saluni ya Mama Kimbo ilivyofanya atambulike na kumpa madili...

K**a sio mapenzi usingesikia nyimbo hizi Bongo
26/06/2025

K**a sio mapenzi usingesikia nyimbo hizi Bongo

Staa wa muziki wa Singeli Bongo, Dulla Makabila amewahi kuachia wimbo 'Furahi' kwa ajili ya aliyekuwa mke wake, Zaiylissa. Katika wimbo huo ...

Kitundu azikwa makaburi ya Wailes
26/06/2025

Kitundu azikwa makaburi ya Wailes

Mwili wa aliyekuwa mwigizaji wa Jua Kali Raidanus Vitalis 'Kitundu' umezikwa leo Juni 26, 2025, katika makaburi ya Wailes, Temeke.Kitundu al...

Sababu ya kifo cha mwigizaji Kitundu, Baba mdogo aeleza
26/06/2025

Sababu ya kifo cha mwigizaji Kitundu, Baba mdogo aeleza

Matei Anamboka ambaye ni baba mdogo wa aliyekuwa mwigizaji wa filamu nchini, Radainus Vitalis 'Kitundu', amesema kilichoondoa uhai wa kijana...

Kwa Diamond Hii Sio Rekodi
24/06/2025

Kwa Diamond Hii Sio Rekodi

Jana Machi 23, 2025 picha ya mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii huku ikiwashangaza wengi kutokana na bei inay...

Namna Ya Kutengeneza Cappuccino
24/06/2025

Namna Ya Kutengeneza Cappuccino

Cappuccino ni kinywaji cha kahawa chenye vipimo sawa vya espresso, maziwa ya moto, na maziwa yaliyopigwa (milk foam). Kinywaji hicho kimejizolea umaar...

Hatma ya Diddy kujulikana hivi karibuni
24/06/2025

Hatma ya Diddy kujulikana hivi karibuni

Mahakama ya jijini Manhattan imeendelea na kesi ya Sean “Diddy” Combs ambapo kwa sasa inaelezwa kesi hiyo ipo ukingoni huku hatma ya rapa ...

Majeraha yaendelea kumlaza Dj Mushizo hospitali
24/06/2025

Majeraha yaendelea kumlaza Dj Mushizo hospitali

Mwanamuziki wa Singeli, M***a Ramadhan maarufu ‘Dj Mushizo’ amefikisha wiki ya pili akiwa hospitali kutokana na ajali ya moto aliyopata ny...

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwananchi Scoop posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mwananchi Scoop:

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share