HABARI KARIBU KUTAZAMA VICHEKESHO VYANGU VIFUPI ILI USIBOWEKE POPOTE PALE ULIPO
11/05/2026
kwa anae hitaji vyumba,nyumba nzima,mashamba nk
22/04/2026
With Almasi Nillan – I just made it onto their weekly engagement list by being one of their top engagers 🎉
21/04/2026
mapema tu mzigo unaitwa evarlast bei pouwa nichek k**a unahitaji kwa kesh na kwa mkopo pia zina patikana..katibu
18/04/2026
good night ................😴😴😴😴😴😴😴😴
18/04/2026
nikajua miji mikubwa huwa ni misafi kumbe kuna watu wanachafua mazingira ...kumbuka tu mtu ni afya😎😎
17/04/2026
Haturuhusiwi kufuga mbuzi au kondoo na mifugo mingine tukiwa mjini...naulizaje kwani ninyi mnaruhusiwa kufannya kilimo?
17/04/2026
sisi tunao tumia usafiri wa umma tuwe tunapeana ushirikiano sio lazima kondacta aanzee kukusogeza k**a mtoto mdogo ....wacha tuwatetee makondacta wa daladala
16/04/2026
kwami wadada mkitolewa out lazima ule au unywe vinywaji ambavyo haujawahi kutumia hata siku moja utakuja kufariki🤣🤣🤣🤣🤣
16/04/2026
Haya mashabiki zangu muda umefika wakuweka page yako hapo kwenye coments ili watu wakufollow karibuni
Be the first to know and let us send you an email when Mc Masai posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.