Midundoradio

Midundoradio idundo Online Media is an online radio and TV platform showcasing East African conscious music Sponsored programmes
3. Headline news from newspapers and blogs
4.

About Us
Midundo Radio Media is an online radio and TV platform showcasing East African conscious music that has the power to move us, heal us and inspire us with positive messages. Midundo Radio’s programming targets the youth using a social justice approach and promoting accountable governance

Vision
To be East Africa’s one-stop station for conscious music and critical thought
Mission
To enter

tain and build an audience critical of social injustice by showcasing East Africa’s emerging conscious musicians and broadcasting empowering programmes

Our programming offers
1. Artists views on life with societal and cultural insights& consciousness, such as Utamaduni Express (cultural matters), Binti Longo (girs and women’s rights), Haki ya Msani (artists rights) and Mpiga Debe (citizen vox pops), Artists profiles and interviews
2. A live audio stream of Midundo Radio/ Midundo TV

What is an artisan market without vendors y'all🤔GOOD NEWS IS 💃 !!  Tell your fellow Fashion and artisan lovers to tell t...
06/12/2023

What is an artisan market without vendors y'all🤔

GOOD NEWS IS 💃 !!

Tell your fellow Fashion and artisan lovers to tell their friends that, Culture and Development East Africa (CDEA) is inviting all entrepreneurs with unique and eye-catching products to participate in our fashion and artisan fair on January 27, 2024. 👗👠💍🛍️

The deadline to apply is January 12, 2024.

To register, please send your business details, product photos, and contact information to [email protected] or call 0657000421






🌟🎉


Culture And Development East Africa "CDEA" kwa kushirikiana na Swahili Bunifu wanakukaribisha kujumuika na wadau mbalimb...
20/11/2023

Culture And Development East Africa "CDEA" kwa kushirikiana na Swahili Bunifu wanakukaribisha kujumuika na wadau mbalimbali kutazama na kujadili filamu ya "JASARI" produced by Seko Shamte & Directed by Sarah Kimario pamoja na filamu ya "OH SH*T! It's Christmas" Produced & Directed by Mathew Valerian.
Hakuna Kiingilio,
:24th November 2023.
: Eco Sanaa. Terrace - Mbezi Beach, 5 Mnadazagawa st, Dar-es-salaam.
: 6:30 p.m.
7:00 p.m
KARIBU SANA.



Happy Nyerere Day.Ikiwa leo ni kumbukizi ya kifo cha Rais wa kwanza wa Tanzania Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kamb...
14/10/2023

Happy Nyerere Day.
Ikiwa leo ni kumbukizi ya kifo cha Rais wa kwanza wa Tanzania Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Ni msemo gani unaukumbuka kutoka kwa baba wa Taifa!?

Tuko Live Now
24/08/2023

Tuko Live Now

SUBSCRIBE and LIKE umuika nasi ndani ya mpiga debe, tutakuwa live na Mwanasayansi wa mimea Mr. IBRAHIM MOHAMEDkujadili Kwa pamoja mada isemayo "Mageuzi ya Ki...

Now On Haki za Msanii...Bonyeza Link kutazama Mubashara
23/08/2023

Now On Haki za Msanii...Bonyeza Link kutazama Mubashara

SUBSCRIBE and LIKE Tusikiliza kupitia tovuti ya www.midundoradio.co.tz/listen/ tutakuwa mubashara kupitia YouTube channel ya Midundo Radio Tunapewa nguvu na...

20/07/2023

Tito Lulandala Mwenyekiti wa Maafisa Utamaduni na Sanaa Tanzania, aliweza kuzungumzia kuhusu Mafanikio ya Utamaduni ambayo Tanzania yamepata kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, kwenye Utam

20/07/2023

Tulipata kuzungumzia kuhusu faida na umuhimu wa kuadhimisha siku hii ya africa duniani ambapo uadhimishwa kila mwaka mwezi may tarehe 25

20/07/2023

PANDAKILIMA KESHAMwl/Mwandishi wa Vitabu vya sanaa ya Uchoraji kuanzi Aliweza kuzungumza vitu vingi sana kuhusu sanaa ya uchoraji. "Atakama ukiwa umesoma lugha mama ni lugha mama, Uchoraji ni mpana n

20/07/2023

kutoka na juhudi zinazofanywa na serikali kupitia wizara ya utamaduni,sanaa na michezo tulipata nafasi ya kuzungumza na mhasisi wa tamasha la utamaduni la usandawe na aliweza kuzungumzia kuhusu mafani

20/07/2023

Tulipata nafasi ya kuzungumza na Afisa miradi kutoka Taasisi ya Culture and Development East Africa(CDEA)na aliweza kuzungumzia kuhusu faida za kusherehekea siku ya utamaduni.

19/07/2023

Adul Razaq mwanasaikoloji alipata nafasi ya kusikika kwenye kipindi cha binti longa na kuweza kuzungumzia kuhusu Changamoto ya afya akili inavyoathiri watu wengi.

19/07/2023

Magolanga kutoka Tanzania Psychological Association alipata nafasi ya kuzungumzia kuhusu wazazi kuimalisha maadili na upendo katika familia.

19/07/2023

Cherry mwanamuziki wa k**e alipata nafasi ya kusikika kwenye kipindi cha binti longa na kuweza kuzungumzia kuhusu mchango wa majukwaa ya kukuza vipaji kwa wasanii wa k**e.

19/07/2023

Irene alielezea kuhusu matangazo ya biashara kupitia majukwaa ya kidigital yanawasaidiaje vijana.

17/07/2023
11/07/2023

Dabo ametujuza namna ambavyo digital platform hazijampa faida kwenye mauzo ya albam ya albam ya sasa kaja na package mpya kwa mashabiki zake yupo kwenye

11/07/2023

Faisal alisikika kwenye kipindi cha haki za msanii na Swaiba akielezea kuhusu tamasha la Bayambi kwa mwaka huu 2023.

11/07/2023

Waandaaji wa tamasha la habanahaba Dance festival walipata nafasi ya kusikika kwenye haki za msanii na kuelezea mafanikia waliyoyapata kwenye tamasha hilo.

Address

Plot 5, Mnadazagawa Street

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Midundoradio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Midundoradio:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share