Fahamu Tv

Fahamu Tv Fahamu kuhusu mambo mbalimbali usiyo yajua

GET IN TOUCH WITH THE UNIVERSE 🌍

Captured hibiscus flower
30/04/2025

Captured hibiscus flower

30/04/2025
26/12/2024

Let us laugh 😃

Jeshi la Polisi laTanzania lathibitisha kuk**atwa kwa kiongozi wa chama cha upinzan CHADEMA mh. Freeman Mbowe pamoja na ...
23/11/2024

Jeshi la Polisi laTanzania lathibitisha kuk**atwa kwa kiongozi wa chama cha upinzan CHADEMA mh. Freeman Mbowe pamoja na wafuasi wake wakati wa kampeeni za uchaguzi wa serikali za mitaa leo 23/11/2024. Kwa kosa la kutokufuata ratiba ya maeneo ya kufanyia kampeni zao

Je unafahamu?Australia ni pana kuliko mweziAustralia ina kipenyo cha  4,000 km kutoka  mashariki-magharibi, wakati mwezi...
22/11/2024

Je unafahamu?
Australia ni pana kuliko mwezi
Australia ina kipenyo cha 4,000 km kutoka mashariki-magharibi, wakati mwezi unakipenyoc cha 3,400 km

GET IN TOUCH
16/11/2024

GET IN TOUCH

GET IN TOUCH
16/11/2024

GET IN TOUCH

11/11/2024

Do you know?

Eating five (5) apples every day reducing the chance to get diabets

  kwa   kutoka kwa
05/06/2024

kwa kutoka kwa

MAAJABU YA MSHAHARA WA MBAPPELeo tarehe 3 majira ya saa 12 jioni  Real madrid wamemtambulisha mchezaji wao mpya raia wa ...
03/06/2024

MAAJABU YA MSHAHARA WA MBAPPE

Leo tarehe 3 majira ya saa 12 jioni Real madrid wamemtambulisha mchezaji wao mpya raia wa Ufaransa kylian Mbappe

Mshahara wake ni k**a ifuatavyo
Kwa mwaka billion 450
Kwa mwezi billion 37.5
Kwa siku billion 1.2
Kwa saa million 52.7
Kwa sekunde laki 8 na elfu 68

Mchezaji gani bongo anastahili hizi hela

Rasmi goalkeeper namba Moja wa club ya   na timu ya taifa ya    DIARA ametangazwa kuwa mchezaji Bora wa Mali kwa Africa ...
03/06/2024

Rasmi goalkeeper namba Moja wa club ya na timu ya taifa ya DIARA ametangazwa kuwa mchezaji Bora wa Mali kwa Africa

Rasmi yanga mabingwa wa   FEDERATION CUP 2023/2024YOUNG AFRICANS THE
03/06/2024

Rasmi yanga mabingwa wa FEDERATION CUP 2023/2024

YOUNG AFRICANS THE

Address

Kasisi
Urambo

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fahamu Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Fahamu Tv:

Share

Category