shigera_mtz

shigera_mtz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from shigera_mtz, Digital creator, Usa River.

Ukibisha tashangaa
25/06/2021

Ukibisha tashangaa

Ushawai kupitia soko la kijijini k**a bado ni follow  upate kujionene vijana wanavyo teseka pia uwone vipaji💪
23/06/2021

Ushawai kupitia soko la kijijini k**a bado ni follow upate kujionene vijana wanavyo teseka pia uwone vipaji💪

Ushawai kupitia masha ya soka la vijijini K**a bado ni follow  upate kuona changamoto yavijana💪
23/06/2021

Ushawai kupitia masha ya soka la vijijini K**a bado ni follow upate kuona changamoto yavijana💪

Kwani uko kweni wanasemaje!?
23/06/2021

Kwani uko kweni wanasemaje!?

Tumepata tulichotaka USHINDI 🤩
22/06/2021

Tumepata tulichotaka USHINDI 🤩

Moto unawaka kwa Mkapa 🔥Kijana wa Msumbuji aliyeletwa Msimbazi kutupa furaha KONDE BOY Luis Jose Miquissone anatuinua te...
22/06/2021

Moto unawaka kwa Mkapa 🔥

Kijana wa Msumbuji aliyeletwa Msimbazi kutupa furaha KONDE BOY Luis Jose Miquissone anatuinua tena kwa bao la pili ✌️

Wanasimba tukutane kwa Mkapa kupata burudani ya kibingwa kutoka kwa mak**anda wetu wa 🦁
22/06/2021

Wanasimba tukutane kwa Mkapa kupata burudani ya kibingwa kutoka kwa mak**anda wetu wa 🦁

Fundi wa mpira kutoka 🇿🇲 anayefanya maajabu ya soka akiwa na jezi ya bingwa wa nchi 🦁🇹🇿 🙌
21/06/2021

Fundi wa mpira kutoka 🇿🇲 anayefanya maajabu ya soka akiwa na jezi ya bingwa wa nchi 🦁🇹🇿 🙌

AMERUDI
21/06/2021

AMERUDI

Dakika moja ya kumkumbuka Rais wa kwanza wa Zambia, Kenneth Kaunda ambaye alifariki siku ya Alhamisi Juni 17, 2021.
21/06/2021

Dakika moja ya kumkumbuka Rais wa kwanza wa Zambia, Kenneth Kaunda ambaye alifariki siku ya Alhamisi Juni 17, 2021.

20/06/2021

Sikufundishi Bari nakukumbusha tu!

NAWATAKIA UWONGOZI MWEMA, MUNGU., HAKABARIKI KAZI ZA MIKONO YENU ONGERA ,👏👏 kwa uteuzi huh! KUTULETEA MAJAMBE YAKAZI💪
20/06/2021

NAWATAKIA UWONGOZI MWEMA, MUNGU., HAKABARIKI KAZI ZA MIKONO YENU ONGERA ,👏👏 kwa uteuzi huh! KUTULETEA MAJAMBE YAKAZI💪

Address

Usa River

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when shigera_mtz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share