MSpörts 10

MSpörts 10 Storyteller ⚽

17/09/2025

Vs

28/08/2025





Picha yenye likes 👍 nyingi zaidi Instagram kwa muda wote tokea kuundwa mtandao huo.Picha ya Leo Messi  akiwa amelibeba K...
27/08/2025

Picha yenye likes 👍 nyingi zaidi Instagram kwa muda wote tokea kuundwa mtandao huo.

Picha ya Leo Messi akiwa amelibeba Kombe la Dunia ndio chapisho lenye Likes nyingi zaidi tangu kuundwa kwa Instagram.

Picha hii sio tu inaongoza kwa kupendwa na watu pia ndio picha pekee ambayo Cristiano Ronaldo kwenye maisha yake na timu yake ya Ureno hawana.. 🙌🙌






16/07/2025

Tofauti ya Matajiri wawili wa Vilabu vya Simba SC Tanzania na Young Africans Sports Club .




16/07/2025

Mnaikumbuka hii?





I've just reached 3K followers! Thank you for continuing support. I could never have made it without each one of you. 🙏🤗...
11/07/2025

I've just reached 3K followers! Thank you for continuing support. I could never have made it without each one of you. 🙏🤗🎉



🚨Manchester United bado ndio klabu inayoongoza kwa nafasi ya kumsajili Emiliano Martinez!Kila kitu kitategemea mauzo ya ...
25/06/2025

🚨Manchester United bado ndio klabu inayoongoza kwa nafasi ya kumsajili Emiliano Martinez!

Kila kitu kitategemea mauzo ya Andre Onana, lakini vyanzo vinasema kuwa Manchester United wako makini sana katika kumfuatilia Emiliano Martinez kwani wanamchukulia k**a mmoja wa makipa bora waliopo sokoni kwa sasa.

Source : GiveMeSport




Anaitwa Leo Messi  ambae alizaliwa tarehe 24 June 1987 huko Rosario, Argentina na leo anafikisha umri wa miaka 38. Messi...
24/06/2025

Anaitwa Leo Messi ambae alizaliwa tarehe 24 June 1987 huko Rosario, Argentina na leo anafikisha umri wa miaka 38. Messi ndie mchezaji mwenye idadi kubwa zaidi ya mataji (46) katika historia ya mpira wa miguu ikiwa ni pamoja na La Liga – 10 (Barcelona), Champions League – 4 (Barcelona), Copa del Rey – 7, Supercopa de España – 8, Ligue 1 – 2 (PSG), Leagues Cup – 1 (Inter Miami), Supporters’ Shield – 1 (Inter Miami), World Cup – 1 (Argentina, 2022), Copa América – 2 (2021, 2024), Club World Cup, Finalissima, Olympic Gold U‑23, U‑20 World Cup nk.

Happy Birthday LapulGa... King him self 🤴.








Amefikisha Jumla ya Magoli 866.Magoli 68 ya free kick.Magoli 50 akiwa na Inter Miami.Asisst 384Amehusika kwenye Jumla ya...
19/06/2025

Amefikisha Jumla ya Magoli 866.

Magoli 68 ya free kick.

Magoli 50 akiwa na Inter Miami.

Asisst 384

Amehusika kwenye Jumla ya Magoli 1250

Na ni Man Of The Match.

FT : Inter Miami 2-1 FC Porto.





  & Leo Messi 😍
12/06/2025

& Leo Messi 😍

Address

Kigamboni
Zanzibar City

Telephone

+255774354444

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MSpörts 10 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share