27/11/2025
YANGA SC INA KIONGOZI WA ROHO NGUMU! ENG. HERSI ATIA NGUVU MAZOEZINI
Young Africans Sports Club
Rais wa Klabu Eng. HERSI ALLY SAID () ameungana na timu kwenye mazoezi licha ya baridi kali ya nyuzi 5โ6.
Uwepo wake mazoezini unaonesha dhamira ya uongozi kutoa sapoti ya karibu kwa wachezaji na benchi la ufundi, sambamba na falsafa ya LEADERSHIP by example.
Klabu inaendelea na maandalizi kwa umakini mkubwa kuelekea mchezo huo muhimu.
WHAT A LEADER