22/07/2023
Angel Benard ⚠️😳 Baada ya ndoa yake ya mwanzo kupasukiana, Msanii wa injili Angel Benard aolewa tena na mwanaume mwingine anayeishi nchini Marekani
Angel Benard aliyefahamika kwa nyimbo kadhaa ikiwemo Siteketei, watu walidhani ndoa yake ya mwanzo yeye na mumewe walikuwa na furaha sana kwa jinsi walivyokuwa wakiwaona ikiwemo mitandaoni, hivyo minong'ono imeibuka kuguata kuolewa tena nchini Marekani
Huku taarifa zikidai kuwa miezi mingi iliyopita Angel alikimbilia mahakamani kutaka talaka yake toka kwa mumewe wa mwanzo ili awe huru kuendelea na maisha yake mengine na alipopata talaka yake rasmi hakusubiri ameolewa tena na mwanaume anayeishi Marekani🙌🤣