
18/08/2025
ADHABU 10 ZA MWENYE KUACHA SALA.
1. Hupatwa na Huzuni, Msongo na Taabu Maishani.
2. Hali ya Kukosa Baraka na Mafanikio.
3. Huondokewa na Nuru ya Imani.
4. Anaandikiwa kuwa ni Mkafiri (kwa baadhi ya wanavyuoni).
5. Dua Zake Hazikubaliwi.
6. Hupewa Azabu Kabla ya Kufa.
7. Atateseka Kaburini.
8. Huhisabiwa Siku ya Kiyama kwa Ukali.
9. Ataingizwa Motoni kwa Majina Maalum.
10. Hukaa Motoni kwa Muda Mrefu.
USIA WANGU :
Kuacha Sala ni jambo la hatari sana. Haijalishi mtu ni tajiri, msomi, au maarufu kiasi gani – bila Sala, hauna uhusiano na Allah. Sala ni nguzo ya dini, na ni kitu cha kwanza kuhesabiwa Siku ya Kiyama.
UKUMBUSHO WANGU :
Toba bado ipo : Anayeacha Sala na akarudi kwa Allah kwa kutubu, kujuta na kuanza kuswali tena – Allah ni Mwingi wa Rehema.
FOLLOW PAGE YANGU KUJIFUNZA MENGI KUHUSU UISLAM | DR. AL MUNADHAF