14/05/2026
⚠️ Iran haikuipiga UAE kwa bahati mbaya…
Kuna kitu media nyingi hazisemi kuhusu AL DHAFRA AIR BASE 🇺🇸🔥
Shambulio moja linaweza kubadilisha mafuta, biashara na uchumi wa dunia kwa sekunde chache.
Na watu wengi bado hawaelewi mchezo unaoendelea nyuma ya pazia… 🌍⚠️