
01/03/2023
kwa nini Simba ameondolewa?,
jibu ni kwamba kwenye kundi lao kuna timu tatu kwa hiyo mechi ni mbili tu.
Mlandege mechi ya kwanza walitoka sare na KVZ na leo wameshinda hivyo wana point nne na KVZ wana point moja.
Simba anacheza mechi ya mwisho na KVZ hata akishinda mabao 100 hawezi kuzifikia point 4 ambazo anazo Mlandege.
Na kwenye kundi inapita timu moja tu,
Tumehelewana mpaka apo?.