George Levi kibona

George Levi kibona ONLY GOD ABOVE ALL

10/04/2025
10/04/2025

Check out GEORGE LEVI KIBONA’s post.

KUNDI LA HAMAS LAMJIBU RAIS WA MAREKANI LIPO TAYARI kwa amani "Kwa kuzingatia tamko lililotolewa hivi punde na Hamas, ni...
10/03/2025

KUNDI LA HAMAS LAMJIBU RAIS WA MAREKANI LIPO TAYARI kwa amani

"Kwa kuzingatia tamko lililotolewa hivi punde na Hamas, ninaamini kuwa wako tayari kwa AMANI ya kudumu. Israel inapaswa kusitisha mara moja mashambulizi ya mabomu dhidi ya Gaza, ili tuweze kuwaokoa mateka kwa usalama na haraka! Kwa sasa, ni hatari mno kufanya hivyo. Tayari tuko kwenye majadiliano kuhusu maelezo ya mpango huu. Hili si kuhusu Gaza pekee, bali ni kuhusu AMANI iliyotafutwa kwa muda mrefu katika Mashariki ya Kati.

I wanna wish you a very happy birthday
10/02/2025

I wanna wish you a very happy birthday

History is in making, we're watching each step and ready to read every word ,comma or dot. Thanks alot Mustapha Konvict ...
09/21/2025

History is in making, we're watching each step and ready to read every word ,comma or dot.
Thanks alot Mustapha Konvict for making it.

 Fadlu Davids na wasaidizi wake wanakamilisha taratibu za safari kutoka Afrika Kusini kwenda Morocco na wanatarajia kusa...
09/21/2025



Fadlu Davids na wasaidizi wake wanakamilisha taratibu za safari kutoka Afrika Kusini kwenda Morocco na wanatarajia kusafiri kesho kwenda Casablanca kukamilisha usaini wao pale Raja Casablanca.

Tayari Fadlu na wenzie wamewaaga wachezaji na hawajasafiri na Simba kutoka Afrika Kusini huku wakitarajia Simba kutangaza kuvunja mikataba yao kabla hawajatangazwa na Raja Casablanca.

Kabla ya kukubali ofa ya Raja kuna mambo kadhaa ambayo baadhi ya vyanzo vya taarifa vinadokeza kuwa hayakumfurahisha.

MADAI YA FADLU...!
- Inaelezwa hakuridhishwa na Uwanja wa MO Arena wa Mazoezi.

- Katikati ya usajili baadhi ya wachezaji walioletwa alivyowakataa ilikuwa ni mwanzo wa kutetereka kwa uhusiano wake na baadhi ya viongozi.

- Usajili wa timu kwenye baadhi ya maeneo haukumfurahisha kwa kiwango alichotaka.

- Alitibuka nyongo zaidi kuona wanarudi KMC Complex badala ya uwanja wa Mkapa.

MSIMAMO WA SIMBA!?
Wameamua kubaki kwenye weledi tu wa kimkataba. Anayevunja mkataba ndiye alipe na si vinginevyo.

Fadlu na wasaidizi wake walikatiwa tiketi zao k**a kawaida na kila huduma inayowastahiki ilikuwepo k**a kawaida...! Ni wao ndio wamejivunja.

NINI MTAZAMO WA KIBINADAMU TU KABLA YA HII LEO!?
Ukweli ni kuwa baadhi ya maswali yalishakuwepo kuhusu Fadlu na mtakumbuka kuna wakati nilihoji kuhusu Yeye kuizungumzia zaidi Yanga kwenye Press kuliko timu yake...!

Baadhi ya watu wa ndani pia hawakuwa wanaafikiana naye kwenye mambo kadhaa.

Uhusiano wao ulishatetereka.

Kule Raja atasaini kandarasi ya miaka mitatu akianzia miwili na mmoja wa kuongeza.

The deal for Fadlu is secured...! It is upon him vs Simba SC now.

09/20/2025


Address

New City, NY

Telephone

+255675726766

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when George Levi kibona posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to George Levi kibona:

Share