
08/10/2025
🤣🤣🤣GACHAGUA ANANIOGOPA🤣🤣Nikikohoa atakunja mkia yake
“Tuliambia watu yetu wa ODM wasijibiza na Gachagua kwa sababu tangu impeachment tunaona k**a akili yake imeruka. So hakuna haja ya kujibizana na wazimu ana payuka payuka ovyo ovyo.”-Junet Mohammed