Chapesa Trending Fashion

Chapesa Trending Fashion Chapesa Media
News,Entertainment, Sports
Chapesa Trending Fashion
✨ Luxury Clothing
💎 Accessories
Visit our new Web Site!

11/24/2024

kuwa wa kwanza kupata taarifa mpya za michezo, burudani, na makala mbali mbali hapa chapesa tv, usisahau subscribes

Kaa karibu na chapesa media kwaajiri ya update.
10/12/2024

Kaa karibu na chapesa media kwaajiri ya update.

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema ataitangaza siku ya November 27,2024 kuwa siku ya mapumziko ili Watanz...
10/12/2024

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema ataitangaza siku ya November 27,2024 kuwa siku ya mapumziko ili Watanzania wote waitumie siku hiyo kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo ameendelea kuwasisitiza Wananchi kwenda kujiandikisha kwenye daftari la Mpiga kura ili wapate fursa ya kuchagua Viongozi kwenye maeneo yao.

Akiongea na Wananchi wa Pasiansi baada ya kuwasili Jijini Mwanza leo October 12,2024, Rais Samia amesema “Nawashukuru sana Wana Mwanza kwa makaribisho makubwa hivi, Airport nimekuta kumefurika, Viongozi wapo wengi nikajua ndio mapokezi yenyewe lakini RC akaniambia Wana Mwanza wanakusubiri Pasiansi wakukaribishe nawashukuru sana”

“Kesho kidogo nitaelekea Geita kisha keshokutwa ni siku ya kilele cha Mbio za Mwenge, niwapongeze Wana Mwanza mmeitendea siku hii kwa kishindo, Wiki ya Vijana imezinduliwa kwa kishindo, mambo ni moto hapa Mwanza, Mwanza mmebahatika Mwanza unamaliza mbio zake Mwanza ukiwa unatimiza miaka 60 tangu kuasisiwa kwake na mwaka huu Mapinduzi ya Zanzibar yametimiza miaka 60, Muungano wetu umetimiza miaka 60 mwaka juu, Jeshi letu la Wananchi na Jeshi la Polisi nao wametimiza miaka 60 mwaka huu”

“Nimeambiwa kwa umahususi huo wa Mwenge mwaka huu tukimaliza kilele utapelekwa Mlima Kilimanjaro kule ulikoanzia, lingine mnajua jana tulianza zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la Wapiga kura wa Serikali za Mitaa, Mimi nimejiandikisha niwaombe wengine twendeni tukajiandikishe wote na ile tarehe ikifika November 27,2024 itakuwa Jumatano na nitaitangaza kuwa ni siku hamna kazi ili Watu wote kazi yetu siku hiyo iwe kupiga kura”

Mayele akiwatembelea simba zoezini huku akimpa mpa Salam mpanzu kwa tabasamu safi kabisa.
10/08/2024

Mayele akiwatembelea simba zoezini huku akimpa mpa Salam mpanzu kwa tabasamu safi kabisa.

fricanfootballleague ...

SIMBA SASA NJIA NI NYEUPE KUELEKEA MAKUNDU 🤣🤣🤣🤣🤣 MASHABIKI ACHENI COMMENT CHINI.
10/07/2024

SIMBA SASA NJIA NI NYEUPE KUELEKEA MAKUNDU 🤣🤣🤣🤣🤣 MASHABIKI ACHENI COMMENT CHINI.

fricanfootballleague ...

Kwaheri Dada yetu R.I.P
10/04/2024

Kwaheri Dada yetu R.I.P

africanfootballleague ...

R.I.P Dida shaibu Mbele yako nyume yetu 🕊🕊🕊🕊
10/04/2024

R.I.P Dida shaibu Mbele yako nyume yetu 🕊🕊🕊🕊

Kwenye kazi kulikua na kazi semaji la caf huna cha kuwadanganya wanaSiiiiiimbaaaa.
10/04/2024

Kwenye kazi kulikua na kazi semaji la caf huna cha kuwadanganya wanaSiiiiiimbaaaa.

africanfootballleague ...

Kumbe mheshimiwa naye yanga Africa sc
10/04/2024

Kumbe mheshimiwa naye yanga Africa sc

kigooco ...

Ubaya ubwela leo poleni sana
10/04/2024

Ubaya ubwela leo poleni sana

kigooco ...

Kesho ulingo utawaka moto
10/04/2024

Kesho ulingo utawaka moto

Now is time for English problem hahaha 😆
10/04/2024

Now is time for English problem hahaha 😆

Hello Chidi Benz always he delivers what he paid for
10/04/2024

Hello Chidi Benz always he delivers what he paid for

kigooco ...

Leo yanga kumshona mtu goli 4 sio poa
10/04/2024

Leo yanga kumshona mtu goli 4 sio poa

kigooco ...

Mambo sio mabaya kwa upande wa yanga sc
10/04/2024

Mambo sio mabaya kwa upande wa yanga sc

kigooco ...

Kazi yetu ni moja tuu kukupa burudani tuu
09/23/2024

Kazi yetu ni moja tuu kukupa burudani tuu

Address

600 N. Salina Street
Syracuse, NY
13208

Opening Hours

Monday 10am - 7:30pm
Tuesday 10am - 7:30pm
Wednesday 10am - 7:30pm
Thursday 10am - 7:30pm
Friday 10am - 7:30pm
Saturday 10am - 7pm
Sunday 10am - 6pm

Telephone

+19013197713

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chapesa Trending Fashion posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share