Veushly TV

Veushly TV VEUSHLY TV MEDIA is an entertainment based online media inspired to tell the untold stories & news.

"....sina la kuambia Linkalin,Sidi Baya na Ruby Kache kwa sababu wako na watu wa kwao,maadvicers ndo wanaeza kuwaambia ....
06/10/2025

"....sina la kuambia Linkalin,Sidi Baya na Ruby Kache kwa sababu wako na watu wa kwao,maadvicers ndo wanaeza kuwaambia ...siko in a position ya kuadvice kina Ruby na kina Linkalin,kila mtu na maisha yake,wako na mashangazi zao wakuaadvice na mimi niko na mashangazi wangu wakuniadvice ,tuishi vile tuko tu...heri mmbea kuliko mnafiki ,k**a hatupendani hatupendani na k**a twapendana twapendana " Princessfynick
Taarifa zaidi YouTube Veushly TV👇 https://youtu.be/C1NhgH20bKM?si=aZp06nhgYWMXsIuI

"....sijasema nilienda nikamfuata Linkalin ati sijui tufanye kiki,tutaketije na Linkalin tuongee nini, hatuko sawa na ha...
06/10/2025

"....sijasema nilienda nikamfuata Linkalin ati sijui tufanye kiki,tutaketije na Linkalin tuongee nini, hatuko sawa na hatupendani, mbona nianze kua mnafiki,si nawaambia kila siku heri mmbea kuliko mnafiki eti sa nikuje hapa niseme ooh tuko sawa mimi na Linkalin...hakuna cha kiki ani hatupendani kwa kiufupi" Princessfynick

Taarifa zaidi YouTube Veushly TV 👇
https://youtu.be/C1NhgH20bKM?si=aZp06nhgYWMXsIuI

"we talked hko nyuma na ako na namba yangu so if angeona umuhimu wa mimi kukua kwa harusi yake angenialika but to me sai...
06/10/2025

"we talked hko nyuma na ako na namba yangu so if angeona umuhimu wa mimi kukua kwa harusi yake angenialika but to me sai kila mtu anajielewa ,ukiona mahali don't force things,ama kutaka kuonekana everywhere,so we mwenyewe unajijazia that's self discipline and self worth so si ati ni kitu iliniuma because after that Lydia akaniapproach nilifaa kuenda na band yangu ya gospel nikampatia rate na hatukuafikiana ju bei hakua ameiweza" Princessfynick
https://youtu.be/C1NhgH20bKM?si=aZp06nhgYWMXsIuI

06/10/2025

Princess Fynick Afunguka sababu iliyomfanya asihudhurie harusi ya Lydia Mwachiru,aweka wazi ugomvi wake na Linkalin.
Azungumzia sakata zima la kurushiana maneno na Linkalin ,Sidi Baya na anayesemekana kua mpenziwe wa zamani,Harms Munga huku akitangaza harusi yake rasmi.
Tazama interview yote YouTube Veushly TV👇 https://youtu.be/C1NhgH20bKM?si=fj68K0-R6JzpkyEf

27/09/2025

Lydia Mwachiru kissing moments with her mzungu husband🤭🤩

27/09/2025

Lydia Mwachiru officially married to her mzungu man🎉 congratulations to them👏🎉

Lydia Mwachiru with her mzungu husband ahead of their wedding tomorrow 🥰
26/09/2025

Lydia Mwachiru with her mzungu husband ahead of their wedding tomorrow 🥰

Lydia Mwachiru's 'kuhaswa' ceremony is ongoing, congratulations to her🎉
26/09/2025

Lydia Mwachiru's 'kuhaswa' ceremony is ongoing, congratulations to her🎉

26/09/2025

Congratulations to Ntv Journalist,Lydia Mwachiru on her wedding ❤️

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Veushly TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share