K the nation News

  • Home
  • K the nation News

K the nation News Content creater | media & Published
Entertainment |Sports |News
Facebook |Instagram

26/02/2024
Ushauri wa Stan Bakora kwa wote waliopo kwenye Mahusiano
21/01/2024

Ushauri wa Stan Bakora kwa wote waliopo kwenye Mahusiano

Huwa Mnafanyeje? Tuandikie hapo kwenye Comment ✍️✍️
12/01/2024

Huwa Mnafanyeje?

Tuandikie hapo kwenye Comment ✍️✍️

Happy New Year 2024 Thank You For All we Stay Together Since Day One and Now K THE NATION NEWS Tunakutakia Heri ya Mwaka...
01/01/2024

Happy New Year 2024
Thank You For All we Stay Together Since Day One and Now

K THE NATION NEWS Tunakutakia Heri ya Mwaka Mpya Wewe na Familia Yako
2024


Hello It's Another Time Tunakuletea Nyimbo mpya ya Kufunga nayo mwaka 2023., TuNakukaribisha sasa kuisikiliza Nyimbo yan...
24/12/2023

Hello It's Another Time Tunakuletea Nyimbo mpya ya Kufunga nayo mwaka 2023., TuNakukaribisha sasa kuisikiliza Nyimbo yangu Mpya
SIJAPENDWA BADO
by the nation
Prod. @ Taifa
Artwork @ vbad lyrics
Tuka Funge nayo Mwaka hii
Nakuomba Usiache ku Like, comment, Subscribe, pia Share
Thanks 🙏

Nyerere day 📌
14/10/2023

Nyerere day 📌

Happy Birthday SIMBA leo ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa SIMBA la MASIMBA Dangote
02/10/2023

Happy Birthday SIMBA
leo ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa SIMBA la MASIMBA Dangote

RAFIKI GANI MNABEBANA IVO😂😂
01/10/2023

RAFIKI GANI MNABEBANA IVO😂😂

Wema Sepetu Anasema Hatokuja kufanya party tena kwenye maisha yake Na hii nikufatia kile kilichofanyika kwenye party yak...
30/09/2023

Wema Sepetu Anasema Hatokuja kufanya party tena kwenye maisha yake
Na hii nikufatia kile kilichofanyika kwenye party yake ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa Usiku wa kuamkia Jana, ambapo Watu walikua wachache Tofauti na alovyo Tarajia.

Kitendo hicho kimemuumiza Sana Wema kutowaona Baadhi ya Marafiki zake siku hiyo, nakusema asingeweza kukaa kimya kwani Angekufa

Swipe

Una Kipi cha Kumshauri Wema

  Kwa mara ya kwanza  na Mmewe  wamempost na kumuonyesha mtoto, Ikiwa siku ya leo ndo Ametimiza Mwaka Mmoja.Mtoto wao hu...
21/08/2023

Kwa mara ya kwanza na Mmewe wamempost na kumuonyesha mtoto, Ikiwa siku ya leo ndo Ametimiza Mwaka Mmoja.

Mtoto wao huyo wa k**e anaitwa

  David Grusch, Afisa wa zamani wa Upelelezi wa Kitaifa na Mwakilishi wa Kikosi Kazi cha Mambo yasiyojulikana katika Ida...
27/07/2023

David Grusch, Afisa wa zamani wa Upelelezi wa Kitaifa na Mwakilishi wa Kikosi Kazi cha Mambo yasiyojulikana katika Idara ya Ulinzi, akitoa ushahidi wakati wa Shauri la Kamati ya Uangalizi ya Bunge amedai Mamlaka za Marekani zinafunika ushahidi wa Ndege ya Viumbe wa ajabu (Aliens) iliyoanguka.

Katika ufunguzi wa Shauri hilo Maafisa wawili wa zamani wa Jeshi la Wanamaji pia walikiri kuona (UAPs), David Grusch anaamini Serikali inamiliki mabaki ya usafiri au Ndege za aliens au UAPs, ambayo imechukua nafasi ya neno UFO, pamoja na mabaki ya waendeshaji wao wasiokuwa Binadamu.

Amesema Ushahidi wake unatokana na taarifa alizopewa kuhusu ajali ya UAP, wakati akitimiza majukumu yake na shuhuda za kutosha za picha, nyaraka rasmi na ushuhuda wa Mdomo kutoka kwa Watu binafsi wenye rekodi ya muda mrefu ya uhalali na Huduma Nchini humo

Mapema Mwaka 2023, Mkuu wa Kitengo katika Idara ya Ulinzi kilichoundwa kutambua uwepo wa UAPs ambazo zinaweza kuwa tishio, aliwaambia Wabunge kuwa hawakubaini dalili za shughuli za Aliens katika Anga la Nchi hiyo


Two songs Out now

&

Link In bio

  Mahak**a ya Misri siku ya jana Jumanne ilimuhukumu Patrick Zaki, mtafiti wa haki za binadamu ambaye alikuwa akisoma nc...
19/07/2023

Mahak**a ya Misri siku ya jana Jumanne ilimuhukumu Patrick Zaki, mtafiti wa haki za binadamu ambaye alikuwa akisoma nchini Italy, kifungo cha miaka mitatu jela kwa kusambaza habari za uongo, shirika la kutetea haki Egypt Initiative for Personal Rights(EIPR) na chanzo cha mahak**a wamesema.

Zaki alik**atwa wakati wa ziara nchini Misri mwezi Februari 2020,
alipokuwa mwanafunzi aliyehitimu katika chuo kikuu cha Bologna. Alishtakiwa kwa kusambaza habari za uongo katika makala aliyoandika kuhusu hali ngumu ya Wakristo wa Misri.

Alikaa jela miezi 22 kabla ya kuachiliwa, akisubiri kukamilika kwa kesi yake katika mahak**a ya dharura ya serikali kuhusu masuala ya usalama, katika mji alikozaliwa wa Mansoura.

Hukumu hiyo haina rufaa katika mahak**a kuu, lakini inaweza kuidhinishwa au kubatilishwa na rais.

Zaki alifanya kazi k**a mtafiti kwenye shirika la EIPR, kundi huru linaloongoza kwa kutetea haki za binadamu, ambalo linasema aliteswa baada ya kuk**atwa kwake.

  Ndege ndogo usiku wa kuamkia leo imeanguka kwenye uwanja wa ndege karibu na mji mkuu wa Poland Warsaw, na kuua watu wa...
18/07/2023

Ndege ndogo usiku wa kuamkia leo imeanguka kwenye uwanja wa ndege karibu na mji mkuu wa Poland Warsaw, na kuua watu watano akiwemo rubani wake, maafisa wanasema.

Watu saba pia walijeruhiwa katika ajali hiyo, polisi wanasema.

Watu kumi na watatu walikuwa wameripotiwa kujikinga kwenye banda la ndege kutokana na hali mbaya ya hewa.

Kikosi cha zima moto kilisema hali mbaya ya hewa ilikuwa "sababu inayowezekana" ya ajali hiyo.

Helikopta nne na ambulensi 10 zilitumwa kwenye eneo la tukio katika kijiji cha Chrcynno.

Kijiji kiko 47km (maili 29) kutoka mji mkuu Warsaw.
Vyombo vya habari vya Poland viliitambua ndege iliyoanguka k**a Cessna 208.

  Kulingana na wataalamu, zabibu ina vitamini C mara nne zaidi kuliko vinjwaji vingi vya juisi wakati oksidi pia hupatik...
13/07/2023

Kulingana na wataalamu, zabibu ina vitamini C mara nne zaidi kuliko vinjwaji vingi vya juisi wakati oksidi pia hupatikana ndani yake.

Zabibu pia inaweza kutumika kwa madhumuni ya matibabu katika siku zijazo.

Vinavyopatikana ndani ya tunda la zabibu vinafanyiwa majaribio ili kuona jinsi vinaweza kutumika kutibu shinikizo la damu na matatizo ya akili.

Profesa Aidan Cassidy katika Chuo Kikuu cha Malkia huko Belfast amefanya utafiti ikiwa wanaume wanaweza kutumia zabibu nyeusi kutibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Anasema kuwa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume husababishwa na mtiririko wa damu usiofaa.

'Anthocyanin, flavinoid zinazopatikana katika zabibu nyeusi (ambazo hupatia tunda rangi ya zambarau), huboresha mtiririko wa damu,' anasema.

Hii huifanya mishipa ya damu kunyumbulika na kufunguka.'

Uchunguzi wa kina wa miaka 10 wa wanaume zaidi ya 25,000 uligundua kwamba wale waliokula matunda ya anthocyanin au zabibu nyeusi mara tatu au zaidi kwa wiki walikuwa na uwezekano wa asilimia 19 chini ya kupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Tunda hili la zabibu pia lina manufaa mengine mwilini.

Utafiti mwingine pia ulionyesha kuwa zabibu nyeusi inaweza kusaidia kuondoa harufu mbaya ya mwili.

  Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kilimo wilayani Misungwi mkoani Mwanza, Charles Maige anashikiliwa na Jeshi la Polisi ...
05/07/2023

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kilimo wilayani Misungwi mkoani Mwanza, Charles Maige anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kumbaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa darasa la saba katika shule hiyo.

Mwanafunzi ameeleza namna jambo hilo lilivyoanza ambapo anadai aliagizwa dukani na mwalimu huyo na baada ya kurudi mwalimu alimwambia aingie ndani na ndipo tukio hilo lilipotendeka kwa mara ya kwanza.

Aidha mwanafunzi huyo anaendelea kueleza kuwa akajenga mazoea ya kuwa ana mbakiza mwanafunzi huyo shuleni pindi wengine wanapoondoka na baada ya kukidhi haja zake alimtishia kwa kumfukuza shule au kumchoma kisu endapo atamueleza mtu yeyote.

Watu wengine kadhaa wanashikiliwa na jeshi la Polisi kwa kile kinachodaiwa kufumbia mambo kitendo hicho cha kinyama.

  Mwanaume mmoja ambaye hajajulikana k**a ni mwanafunzi au muuguzi mkunga, anadaiwa kuuawa na watu wasiojulikana wakati ...
04/07/2023

Mwanaume mmoja ambaye hajajulikana k**a ni mwanafunzi au muuguzi mkunga, anadaiwa kuuawa na watu wasiojulikana wakati akifanya ngono usiku wa manane katika uchororo mjini Moshi kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali.

Uchochoro huo unaopakana na Maktaba ya mkoa na kutokea barabara ya Rengua, umezungukwa na Clabu za usiku ambapo mitaa ya Clabu hizo unatajwa kuwa maarufu kwa ufanyaji ngono nyakati za usiku hutumiwa na dadapoa kujiuza na hutumia eneo hilo kwa kufanya ngono.

Taarifa zilizopatikana zinaeleza tukio hilo lilitokea kati ya saa 8 na saa 9 usiku wa kuamkia jana July 03, na kwamba bado kuna utata wa k**a mwanaume huyo ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja jijini Dodoma au ni muuguzi mkunga.

Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa Amethibitisha kuwepo kwa mauaji hayo na kwamba wapo watu wanaoshikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuhusika na mauaji hayo.

  Gazeti la Uingereza la "The Independent" limemtaka Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, kudhibiti haraka ukatili wa poli...
02/07/2023

Gazeti la Uingereza la "The Independent" limemtaka Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, kudhibiti haraka ukatili wa polisi wa nchi hiyo na kupunguza hali iliyotanda katika vitongoji vya miji mikubwa ya watu kujihisi kwamba ni raia wa daraja la pili nchini mwao.

Gazeti hilo limeeleza katika tahariri yake kwamba, tishio la chuki dhidi ya wageni linalotawala siasa za Ufaransa sasa limeenea zaidi kuliko wakati mwingine wowote.

Gazeti hilo limeeleza kuwa baada ya polisi ya Ufaransa kumwaga mafuta kwenye moto, kwa kuwataja watu wanaoandamana kuwa ni "wadudu" na "makundi ya kikatili," Rais Macron analazimika kuchukue hatua za haraka kulinda jamii yake ili isporomoke.

  Mshukiwa wa mauaji ya Florida ambaye alishiriki mara tatu kwenye filamu ya America's Most Wanted alik**atwa baada ya k...
01/07/2023

Mshukiwa wa mauaji ya Florida ambaye alishiriki mara tatu kwenye filamu ya America's Most Wanted alik**atwa baada ya kutoroka kwa takriban miongo minne.

Donald Santini (65) anadaiwa kutumia majina 13 bandia kukwepa kuk**atwa kwa mauaji ya mwanamke wa Florida mwenye umri wa miaka 33 mwaka 1984, mamlaka ilisema.

Alikuwa akihudumu k**a rais wa bodi ya maji katika jimbo la California wakati wa kuk**atwa kwake.
Santini alirejeshwa Florida ambako anakabiliwa na shtaka la mauaji.

Alikuwa anatafutwa kwa mauaji ya Cynthia Wood, mwenye umri wa miaka 33 wakati huo akipitia talaka na mumewe. Alikuwa mtu wa mwisho kuonekana naye tarehe 6 Juni, 1984 kabla ya wapelelezi kugundua mwili wake, ulionyongwa na kuachwa kwenye mfereji.

"Kuk**atwa kwa Donald Santini kunaleta kufungwa kwa kesi iliyodumu kwa muda mrefu na kutoa haki kwa mwathiriwa na familia yake baada ya takriban miongo minne ya kusubiri," Sheriff Chad Chronister wa Kaunti ya Hillsborough, Florida alisema katika taarifa.

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when K the nation News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share