01/02/2026
MIMA...(Culture)...In luyah community,hiki kitendo hufanyika Sana! Hapa ni mama akifiwa na mumewe,lazima ataenda kwako rasimi kwenda kujulisha wa kwao kwamba mumewe amefariki.Sasa kile hunifurahisha ni mambo mawili😅! Eti mumewe atafariki,atatulia hadi maandalizi ya mazishi yakamilike,wa kwao watakuwa tayari Wana habari ya kifo cha mume wa mwanao,aidha watapata habari kwa njia ya simu au njia yoyote ile! Siku ya kutoa mwili mortuary,mke ataenda atoe mumewe mortuary,amlete nyumbani,Kesho ataandaliwa safari aende kwao kwenda kuwafahamisha kwamba mumewe amefariki! Sijui k**a analala au anarudi siku hiyo! Eti anafaa kupewa "kiondo" ya unga wa mahindi,kuku na watu kadhaa wa kumsindikiza akirudi kwake! Anafaa kupiga duru aingiapo kwa Boma eti la si hivyo basi yaweza chukuliwa kwamba huenda alichangia kwa kifo cha mumewe!
Ni hivyo luyah guys ama nimekosea😀🤔..