20/11/2025
Nimekaa muda mrefu bila kupost mambo ya filming, lakini leo nimerudi tena
Hii ni video niliyofanya wiki 2 zilizopita mara tu niliporudi kutoka Kenya 🇰🇪.
Ni BNB tamu sana—moja ya nzuri kuliko zote hapa Tanga, ndani ya Harbours Club.
Nikakumbukia kuonyesha techniques zangu 😄🎥