Modern Flicks

Modern Flicks Ukurasa rasmi wa , wachambuzi na wauzaji wa movie, pamoja na TV Series.

11/07/2025

πŸŽ₯Wakiwa hawajuani, wala kupendana, na wanalazimishwa kuficha na kusafisha mauaji, madawa ya kulevya yaliyopotea ndani ya usiku mmoja. Je, watafanikiwa?πŸ€” Cc Traves Senior

Bonyeza Link: https://youtu.be/YfG08VkgCaA

03/07/2025

πŸŽ₯Tazama namna FEDHA zako BENKI zinavyo-fund UGAIDI, VURUGU, MAUAJI: 'The International' movie Recap/Review by Traves Senior 😱 Cc

Tazama benki zinavyotumia fedha zako kusababisha vurugu, mauaji, ugaidi, na ukoloni mambo Leo barani Afrika na mashariki...
27/06/2025

Tazama benki zinavyotumia fedha zako kusababisha vurugu, mauaji, ugaidi, na ukoloni mambo Leo barani Afrika na mashariki ya kati. πŸ‘‡πŸΎπŸ˜±

Interpol agent Louis Salinger (Clive Owen) and Manhattan District Attorney Eleanor Whitman (Naomi Watts) are on a mission to bring down one of the world's mo...

Review ya movie 'The Gorge' (2025) yenye mastaa k**a Miles Teller na Anya Taylor-Joy tayari tumeshakuwekea YouTube. Bony...
31/03/2025

Review ya movie 'The Gorge' (2025) yenye mastaa k**a Miles Teller na Anya Taylor-Joy tayari tumeshakuwekea YouTube. Bonyeza link πŸ‘‡πŸΎ kutazama.

Two highly-trained operatives are appointed to posts in guard towers on opposite sides of a vast and highly classified gorge, protecting the world from a mys...

Wangapi mmeshaitazama Captain America Brave New World mpaka sasa?πŸŽ₯πŸ˜‹πŸΏ  Tazama review yetu hapaπŸ‘‡πŸΎ
31/03/2025

Wangapi mmeshaitazama Captain America Brave New World mpaka sasa?πŸŽ₯πŸ˜‹πŸΏ

Tazama review yetu hapaπŸ‘‡πŸΎ

A new Captain America Sam Wilson finds himself in the middle of an international incident after meeting with President Thaddeus Ross. He must soon discover t...

Traves Senior ameshaitazama Movie ya Back In Action (2025) yenye mastaa k**a Jamie Foxx na Cameron Diaz. Na hii ndio Rev...
29/03/2025

Traves Senior ameshaitazama Movie ya Back In Action (2025) yenye mastaa k**a Jamie Foxx na Cameron Diaz. Na hii ndio Review yake πŸ‘‡

Years after giving up life as CIA spies to start a family, Matt (Jamie Foxx), and Emily (Cameron Diaz) find themselves dragged back into the world of espiona...

Happy Valentine πŸ’•πŸ’ Hizi hapa Filamu 10 za kuenjoy na mpenzi wako msimu wa   πŸ‘‡πŸΎπŸ˜
13/02/2025

Happy Valentine πŸ’•πŸ’

Hizi hapa Filamu 10 za kuenjoy na mpenzi wako msimu wa πŸ‘‡πŸΎπŸ˜

Movie gani nyingine ungeiongeza kwenye orodha hii ya movie ambazo hazikufanya vizuri kwa mwaka 2024?πŸ€”πŸ‘‡πŸΎ
12/01/2025

Movie gani nyingine ungeiongeza kwenye orodha hii ya movie ambazo hazikufanya vizuri kwa mwaka 2024?πŸ€”πŸ‘‡πŸΎ

Baada ya kukuletea movie 10 bora za mwaka 2024, sasa ni zamu ya kukuletea movie 10 ambazo zilikuwa chini ya kiwango au matarajio yetu. Enjoy na utuachie maon...

Unakubaliana na sisi kuwa hizi ndio movie 10 Bora za mwaka 2024?πŸ€” Bonyeza kutazamaπŸ‘‡πŸΎ
12/01/2025

Unakubaliana na sisi kuwa hizi ndio movie 10 Bora za mwaka 2024?πŸ€” Bonyeza kutazamaπŸ‘‡πŸΎ

Traves ameandaa orodha ya movie kali za 2024 unazopaswa kuzitafuta na kuzitazama k**a bado haujafanya hivyo. Enjoy na usisite kutoa maoni yako na list yako p...

12/01/2025

THE BEAUTIFUL GAME ni Moja ya movie zilizofanya vizuri kwa mwaka 2024 ikiwa na stori nzuri yenye kusisimua, waigizaji sahihi, vichekesho, na soka la hali ya juu. πŸŽ₯πŸ˜‹πŸΏ

Bonyeza hapa kutazama list nzima ya movie Bora za mwaka 2024 πŸ‘‡πŸΎ
https://youtu.be/y3ycbIcsjIQ

Enjoy recap ya movie ya REBEL RIDGE (2024) kwa kubonyeza link hii:
26/10/2024

Enjoy recap ya movie ya REBEL RIDGE (2024) kwa kubonyeza link hii:

Fuatilia maelezo na uchambuzi wa filamu ya REBEL RIDGE (2024) unaoelezea kisa cha Marine wa special program iitwayo MCMAP (Marine Corps Martial Arts Program)...

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Modern Flicks posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Modern Flicks:

Share