Gboy willye254

  • Home
  • Gboy willye254

Gboy willye254 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Gboy willye254, Digital creator, .

💫😂Leo nikiwa naroll chapo za   lunch kitu saa sita😎, message ikaingia kwa simu😯😯.Kucheki ilikuwa ya crush wangu mwenye n...
05/01/2025

💫😂Leo nikiwa naroll chapo za lunch kitu saa sita😎, message ikaingia kwa simu😯😯.Kucheki ilikuwa ya crush wangu mwenye nimekuwa nikimmezea mate for long.

Message ilikuwa inasema💢 ''woiye Gbøy nitumie 5k ni urgent please '' Wah! nkajua sasa labda dem ameona vile mie hudunga smart😊, may be ataenda hivi hivi aniambie ananipenda. Ilibidi nimereply hivi, ''sawa sweeee❤️, nitatuma saii😎, alafu na wewe ukuje ma late night uniwahi hata k**a ni kiss aki🤗''

After 5 minutes akareply ati🤓 'sawa tuma saii aki🥰.' Weh🙆 hiyo emoji! Jehovah wanyonyi, boychild nipeane 5k yangu ...ambayo nimehangaika kuisave for about 5 years 😫. Kitu ikaniambia ah! k**a mbaya na basi ikuwe mbaya, mimi Huyo Mpesa, Send money... Pap 5k ikaenda👌.

After kutuma nilirelax na kuanza kuroll balls za kutengeneza chapati🙂. 5 minutes, 10 minutes...aiii dem hakureply eti 'Asante ama aseme amepata😫' Nkaamua kuconfirm number k**a nilidial the right one...kucheki iko sawa. 20 minutes...wapi? Nikamtext "umepata"...lakini wapi? Alinyamaza hivo😫😫💔.

Mimi naye ni nani? Si mnanijua mie Gbøy sijazaliwa jana wala juzi?🤔 ....mimi huyo nikareverse 5k yangu ma,,, ikarudi mara that that. Kisha dem akanitext 'usiwe hivyo Gbøy please🤓'....na mimi nikareply ''Hii kenya mtu akikojoa petrol😎, wewe nyamba borm alipuke🖕...Salaam aleikum?😂😂saii nko hapa hapa Nakuru natafuta hoteli legit yenye wanauza ugali niteremshie zile chapati za lunch💪🤣🤣''📌🔔🌐..mie k**a kijana yenu Gbøy 😂 chenye kitatokea nitawaambia😂🙆💫

Follow
Gbøy ♥️

weh huku online kila MTU ni light skin but kwa ground mambo ni defrent..😂😂😂🙆👌kumbavu zangu 😂 umbwa mm 😂😂😂😂
02/10/2024

weh huku online kila MTU ni light skin but kwa ground mambo ni defrent..😂😂😂🙆👌kumbavu zangu 😂 umbwa mm 😂😂😂😂

walaii simnifollow na profile yangu is full@
02/10/2024

walaii simnifollow na profile yangu is full
@

fresher atathanii hii sufuria ni chafu 🤣🤣🤣🤣🤣
05/09/2024

fresher atathanii hii sufuria ni chafu 🤣🤣🤣🤣🤣

Best captions winspitia nikupitie mkuuh
03/08/2024

Best captions wins
pitia nikupitie mkuuh

K**a unapenda💗zake weka tick ☑️
02/08/2024

K**a unapenda💗zake weka tick ☑️

where is here .. home best home 💚💚💚 Amazing Captions
02/08/2024

where is here ..
home best home
💚💚💚 Amazing
Captions

24/03/2024

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gboy willye254 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share