Somma Agencies

  • Home
  • Somma Agencies

Somma Agencies Tunawasaidia wafanya biashara kupata wateja wengi katika mtandao wa internet

22/12/2022
17/07/2022
Valentine Valentine Valentine ofaaaa.....Mwezi wa upendo huuYSM Company limited tunakuonesha upendo mteja wetu kwa kukup...
08/02/2021

Valentine Valentine Valentine ofaaaa.....

Mwezi wa upendo huu

YSM Company limited tunakuonesha upendo mteja wetu kwa kukupa ofa kubwa ya mpk 30% kwa kila huduma utakayohitaji kutoka kwetu.

Huduma zetu📢
▫️ Tunang'arisha tiles zilizofubaa
▫️ Tunang'arisha masink yaliyofubaa
▫️ Tunasafisha sofa zilizochafuka
▫️tunafua nguo aina zote
▫️ Tunafanya fumigation
▫️ Tunasafisha nyumba mpya au iliuokarabatiwa
▫️Tunaosha magari nk

(FANYIWA USAFI BURE KABISA WEEKEND HII KUANZIA LEO CHAGUA HUDUMA 1 YA BURE HAPO CHINI).OFA KWA WATEJA 5 NDANI YA MBEYA M...
08/02/2021

(FANYIWA USAFI BURE KABISA WEEKEND HII KUANZIA LEO CHAGUA HUDUMA 1 YA BURE HAPO CHINI).
OFA KWA WATEJA 5 NDANI YA MBEYA MJINI

USAFI WA NYUMBA KWA UJUMLA UKIWA UNAENDELEA NYUMBANI KWAKO MTEJA🙏 PIA TUNATOA HUDUMA YA USAFI WA NYUMBA YAKO NA OFISI YAKO: USAFI WA:-

➡KUFUA MASOFA
➡KUFUA MAKAPETI NA NGUO AINA ZOTE
➡USAFI WA TILES ZILIZO FUBAA NA MASINK
➡USAFI WA NYUMBA KWA UJUMLA
➡USAFI WA OFISI KWA UJUMLA
➡KUREKEBISHA NA KUTENGENEZA GARDEN
➡USAFI WA CHOO NA BAFU
➡USAFI WA NYUMBA MPYA K**A UNAHAMIA
➡FUMIGATION
➡USAFI WA MADIRISHA.
➡KUSOMBA MAJI TAKA.

TUPIGIE SASA TUKUHUDUMIE.. GHARAMA ZETU NI NAFUU SANAA IKIWA UTAKOSA OFA UTA PATA PUNGUZO LA 50% KATIKA BEI ZETU
☎☎ 0676091570. // 0768070919 // 0684601370

YSM WEEKEND OFAWeekend hii ukifanyiwa huduma yoyote na YSM, tunakufulia viatu bure pamoja na kukufulia nguo 5  bila mali...
23/01/2021

YSM WEEKEND OFA

Weekend hii ukifanyiwa huduma yoyote na YSM, tunakufulia viatu bure pamoja na kukufulia nguo 5 bila malipo yoyote.

Tunapatikana Simike Mbeya
Mawasiliano:
0684601370

Karibuni YSM tukufanyie usafi wa viwango vya juu kwa gharama nafuu sana.Usafi wetu Ni wa kitaalamu, wanapoishia wengine ...
18/01/2021

Karibuni YSM tukufanyie usafi wa viwango vya juu kwa gharama nafuu sana.

Usafi wetu Ni wa kitaalamu, wanapoishia wengine ndipo tunapoanzia.

Tunatakatisha Uchafu sugu na kurejesha upya.

Ofa kwako wewe Mtanzania  mkazi wa Mbeya
11/01/2021

Ofa kwako wewe Mtanzania mkazi wa Mbeya

Ofa kwa ajiri yako mtanzania wewe mkazi wa Mbeya
11/01/2021

Ofa kwa ajiri yako mtanzania wewe mkazi wa Mbeya

Msimu huu wa tope na mvua nyingi, usihangaike kufua viatu vyako ambavyo licha ya Uchafu vitakusumbua kukauka.YSM tunakuf...
09/01/2021

Msimu huu wa tope na mvua nyingi, usihangaike kufua viatu vyako ambavyo licha ya Uchafu vitakusumbua kukauka.

YSM tunakufulia viatu aina zote na kukukaushia bila kujali hali ya hewa.

Free pick up and delivery popote jijini Mbeya.

DILI KWA WANACHUO MKOANI MBEYAUsihangaike sehemu ya uhakika ya kufua nguo zako kwa ubora wa kipekee na Bei poa. Ysm tume...
09/01/2021

DILI KWA WANACHUO MKOANI MBEYA

Usihangaike sehemu ya uhakika ya kufua nguo zako kwa ubora wa kipekee na Bei poa. Ysm tumekuletea ofa kabambe ya kufua nguo zako kwa umaridadi.

Tunafanyaaa Free pick up and delivery popote ulipo jijini Mbeya.
Piga simu tukufuate popote ulipo 0676091570

Ni msimu wa mvua, kwanini uhangaike kufua nguo na isikauke?? Sisi tunakufulia na kukukaushia kwa muda mfupi. Tunafua bla...
06/01/2021

Ni msimu wa mvua, kwanini uhangaike kufua nguo na isikauke?? Sisi tunakufulia na kukukaushia kwa muda mfupi.

Tunafua blanket za aina zote na nguo aina zote kwa Bei poa kabisa.

Tunafuata popote ulipo jijini Mbeya, na baada ya kufua tunarudisha. BURE

Tupo Simike Mbeya Mjini.
Tupigie simu 0684601370

DILI KWA WANACHUOUsihangaike sehemu ya uhakika ya kufua nguo zako kwa ubora wa kipekee na Bei poa. Ysm tumekuletea ofa k...
05/01/2021

DILI KWA WANACHUO
Usihangaike sehemu ya uhakika ya kufua nguo zako kwa ubora wa kipekee na Bei poa. Ysm tumekuletea ofa kabambe ya kufua nguo zako kwa umaridadi.

Tunafanyaaa Free pick up and delivery popote ulipo jijini Mbeya.

Piga simu tukufuate popote ulipo 0676091570

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Somma Agencies posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Somma Agencies:

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share