Tesse Bernady

  • Home
  • Tesse Bernady

Tesse Bernady

20/06/2021

WANAWAKE wa TZ wanataka kila kitu cha MWANAUME wa TZ. 😂😂😂

Hata hii kitu inaitwa "FATHER'S DAY" nayo wanaitaka.😂😂

05/06/2021

Wanaume waaminifu na wenye kujali tupo , Niwewe tu unakutana na malaya wenzako 😁😁😂😂

05/08/2020

Usiku wa Jana Ulijuwa ni Usiku wa Ugawaji waTuzo za (Mitindo) Fashion Katika Ukanda Wa Afrika ya Mashariki Ambazo Zimetolewa Kutokea katika Ardhi ya Tanzania huku Wanamuziki Wawili Kutoka Na Wakifanikiwa Kunyakua Tuzo hizo kwa Pamoja.
_
Diamond Amechukua tuzo kipengele cha of the Year , Huku akibeba kupitia brand yake ya African Boy ( Emerging Fashion brand of the year ), Katika Kipengele Kingine Mtoto Wa Staa Ametwaa tuzo (MostStylishKid) Huku Ambaye Ni Mtoto wa akitwaa tuzo ya .
,

15/06/2020

BLUE Monday imekaaje kwako

11/06/2020

Msanii na CEO wa Label ya WCB Diamond Platnumz “Chibu Dangote” leo June 10 amefikisha jumla ya watazamaji(Views) Billioni 1 kwenye mtandao wa Youtube.

ana wafuasi (subscribers) Millioni 3.68+, video zake zote kwenye mtandao wa Youtube zimetazamwa zaidi ya mara Billioni 1 hadi siku ya Jana (Juni 10,2020) na ndiye msanii wa kwanza Afrika (Nchi za kusini mwa jangwa la sahara) kufikia mafaniko hayo.

Diamond Platnumz ameupload video zaidi ya 650 kwenye Youtube Channel yake.Siku chache zilizopita alitajwa na Website maarufu ya kupanga Chart nchini Marekani kuwa mfano bora wa Wasanii wenye ndoto za kufika mbali kupitia mtandao huo.

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tesse Bernady posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share