Dmzv_Usharika Wa Galilaya Buhongwa

  • Home
  • Dmzv_Usharika Wa Galilaya Buhongwa

Dmzv_Usharika Wa Galilaya Buhongwa TUNAPIGA MBIO KWA SABURI

Ukurasa huu ni Mahususi kwa ajili ya kueneza Injili kwa watu wote

Injili

🎉 Karibu Sana kwenye Ibada Maalum ya Jumapili! 🙏🏽Kwa upendo mkubwa tunakualika kushiriki nasi katika ibada ya kipekee ya...
05/07/2025

🎉 Karibu Sana kwenye Ibada Maalum ya Jumapili! 🙏🏽
Kwa upendo mkubwa tunakualika kushiriki nasi katika ibada ya kipekee ya kumwabudu Mungu wetu aliye hai.

🗓 Tarehe: Jumapili, 06 Julai 2025
🕐 Muda: Kuanzia saa 1:00 kamili asubuhi
📍 Mahali: KKKT Galilaya Buhongwa

Usikose nafasi hii ya baraka, maombi, sifa, na Neno la Mungu litakalojenga na kuimarisha maisha yako kiroho. Kuna ujumbe mahususi kwa ajili yako!

> Zaburi 122:1
Nalifurahi waliponiambia, Na twende nyumbani kwa BWANA.

Karibu sana – wewe ni mgeni wa heshima!

SEMINA YA NENO LA MUNGU 🟧KKKT DMZV Usharika wa Galilaya BuhongwaINAKULETEA: Semina  ya kulijifunza Neno la Mungu yenye n...
02/07/2025

SEMINA YA NENO LA MUNGU 🟧
KKKT DMZV Usharika wa Galilaya Buhongwa
INAKULETEA: Semina ya kulijifunza Neno la Mungu yenye nguvu, uponyaji, na ufunuo mpya wa kiroho!

🗓 Tarehe: 06 - 13 Julai 2025
🕓 Muda: Saa 10:00 jioni hadi 1:00 usiku
📍 Mahali: KKKT DMZV Usharika wa Galilaya Buhongwa - Mwanza
📖 Kaulimbiu: "Njia anazotumia Mungu kuwatokea watu kwenye mapito" (1 Wakorintho 10:13)

🗣 Wahubiri mahiri:
🔹 Mwl. Emmilian Katubayemo
🔹 Mwl. Gilbert Ezekiel
🔹 Rev. Lucas Baskely – Mch. Kiongozi

Usikose! Mwaliko huu ni kwa ajili yako, familia yako, na marafiki zako. Njoo tukutane kwenye uwepo wa Mungu utakutana na njia yako ya kutoka!

Watheolojia
10/02/2025

Watheolojia

26/01/2025
SIKU YA BWANA YA 3 KATIKA MAJIRA YA UFUNUO.**NENO LA WIKI:  MUNGU HANA UPENDELEOMASOMO* Zab. 62 : 1 - 7* Mk. 1 : 32 - 34...
26/01/2025

SIKU YA BWANA YA 3 KATIKA MAJIRA YA UFUNUO.*

*NENO LA WIKI: MUNGU HANA UPENDELEO

MASOMO
* Zab. 62 : 1 - 7
* Mk. 1 : 32 - 34
* Rum. 10 : 9 - 13

Wimbo wa siku 398

HAPANA RAFIKI K**A YESU

Ibada hii imeongozwa na Mkuu wa Jimbo la Mwanza Kusini Mch Kaijunga, ibada hii pia imeambatana na Shukran ya pekee toka Kwa Askofu Msaizi Dean Ling'wa

MATUKIO KATIKA PICHAIbada ya kuweka Wakfu vifaa vya askofu kuelekea ibada ya kumuweka wakfu askofu mteule wa Dayosis ya ...
19/01/2025

MATUKIO KATIKA PICHA

Ibada ya kuweka Wakfu vifaa vya askofu kuelekea ibada ya kumuweka wakfu askofu mteule wa Dayosis ya Mashariki ya ziwa Victoria askofu Oscar Lema na Msaidizi wake Steven Ling'wa. Ibada imefanyika kuu

23/10/2024

Sisi waumini wa KKKT-Dmzv Usharika wa Galilaya Buhongwa tunawapa pole familia, usharika wa KKKT WAZO HILL -DMP na Wakristo wote kwa Kuondokewa na wapendwa wetu hawa, Mungu wa Mbinguni awe faraja yenu nyote na katika haya yote Tusimwache Mungu maana yeye atabaki kuwa Mungu.

20/08/2024

Mch Kiongozi wa Usharika wa Galilaya Buhongwa Mch Lucas Baskely, anawakaribisha watu wote katika semina ya Neno la Mungu kwanzia tarh 25 Mwezi wa nane saa 9:30 alasili, Semina itaongozwa na Mtumishi wa Mungu Mwl. Emilian Katubayemo

14/07/2024

SIKU YA 7 BAADA YA UTATU

WITO WA KUWAJALI WENGINE KATIKA KRISTO

Masomo

Luka 10:30-35

Zab 109:1-10

2Samwl 9:9-13

IBADA IMEONGOZWA NA WATUMISHI WA MUNGU

AMANI NJOKA

pamoja na

NEEMA RWEGARULILA

Wazee wa kanisa KKKT Galilaya Buhongwa
15/04/2024

Wazee wa kanisa KKKT Galilaya Buhongwa

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dmzv_Usharika Wa Galilaya Buhongwa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dmzv_Usharika Wa Galilaya Buhongwa:

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share