14/01/2023
إنا لله وإنا اليه راجعون
Kifo hivi sasa cha Muhammad Salim Bam-Mbarak wa Dollar petroleum, baada ya kupata ajali ya barabarani head on collision na lorry, mbele ya Voi wakiwa wanaelekea kufungua msikiti mjini Taveta. Ni babake Samir na wengenio. Ni mjombake Ahmed na Msellem Mashjary wa Kilifi Town. Katika huo ajali pia ameumia Duktur Islam anayetoa darasa msikiti wa Al azhar na Masjid Luta. Duktur Islam yuko ICU. Tunamuomba Allah ampe Shifaa ya Haraka. Baa-mbarak nyumbani kwake ni karibu na Masjid Nur, Nyali. Mwenye zi mungu amsamehe dhambi zake na amueke mahala pema peponi. ameen.