Joelmedia

Joelmedia Joel Media Tunawasaidia Vijana Kujifunza
Kuingiza Kipato Kupitia Ujuzi wa
Graphics Design na Video Content
Mawasiliano: 0745 152 680 I 0627 150 780

Swali la nani anafaa au anahitaji Kujifunza Graphics Design Majibu yake haya hapaLike, share, Save kwa matumizi ya baada...
26/07/2025

Swali la nani anafaa au anahitaji Kujifunza Graphics Design Majibu yake haya hapa

Like, share, Save kwa matumizi ya baadae

Follow page yetu kwa mafunzo zaidi

Content Creator, Wafanyabuashara, Trainers, Coaches Wengi Graphics zenu mbaya sanaLeo nna ujumbe wenu fanyieni kazi Kubo...
24/07/2025

Content Creator, Wafanyabuashara, Trainers, Coaches Wengi Graphics zenu mbaya sana

Leo nna ujumbe wenu fanyieni kazi Kuboresha

Na changamoto ya wengi wanadhani kujua softwares ndo kujua Design hapana haifanyi kazi hivyo, Design nzuri ni zaidi ya Kujua kutumia Canva na Photoshop

Unafikiri nini?

Follow for more

24/07/2025

Ofisi zetu zipo ubungo External Dar es salaam
0745 152 680

Kila biashara inahitaji kuonekana vizuri.Na kila picha nzuri inayouzwa, kuna designer nyuma yake
23/07/2025

Kila biashara inahitaji kuonekana vizuri.
Na kila picha nzuri inayouzwa, kuna designer nyuma yake

Chukua Hii Formula Ifanyie kazi Kisha njoo kwenye page hii baada ya meizi miwili Unishukuru, Naamini itakusaidia sana. S...
22/07/2025

Chukua Hii Formula Ifanyie kazi Kisha njoo kwenye page hii baada ya meizi miwili Unishukuru, Naamini itakusaidia sana. Save Post, share na Acha Maoni yako hapo chini

Follow page yetu kwa masomo zaidi

21/07/2025

Anza na Ulichonacho

20/07/2025

Darasa Jipya la Video Production Linaanza

Unaweza kujisajili wakati wowote kuanzia sasa!
Hii ni nafasi yako ya kujifunza ujuzi wa kisasa wa Video Production unaoweza kukusaidia kujiajiri, kupata kazi, au kuboresha brand yako mtandaoni.

Utajifunza kutoka kwa wakufunzi wenye uzoefu na kupata maarifa ya kutengeneza video nzuri kwa ajili ya YouTube, mitandao ya kijamii na biashara mbalimbali.

🎓 KOZI UNAZOSOMA
✅ Ultimate Filmmaking Course
✅ Adobe Premiere Pro (Video Editing)
✅ Adobe After Effects (Motion Graphics)
✅ Canva Design Course
✅ Social Media Marketing

FAIDA ZA KOZI HII
✅Masomo ya ana kwa ana Ofisini kwetu kwa Mwezi Mzima
✅ Access ya masomo kupitia website kwa miezi sita
✅ Access ya WhatsApp Group kwa mawasiliano ya kila siku
✅ Utapata cheti kwa kila kozi utakayomaliza na kufaulu
✅ Kuunganishwa na fursa za ajira endapo zitapatikana

Ada Physical ofisini
✅ Tsh 500,000

Online Recorded Videos
✅ Tsh 250,000

Ofisi Zipo Ubungo External Dar es salaam
📞 JISAJILI NA MAFUNZO SASA
📲 +255 627 150 780
📲 +255 745 152 680

20/07/2025

Video Nzima Ipo Youtube Joel Media

20/07/2025

Folloe

20/07/2025

Darasa Jipya la Graphics Design Linaanza
Unaweza kujisajili wakati wowote kuanzia sasa

Hii ni nafasi yako ya kujifunza ujuzi wa kisasa wa Graphics Design unaoweza kukusaidia kujiajiri au kupata kazi kwa urahisi. Utajifunza kutoka kwa wakufunzi wenye uzoefu na kupata maarifa ya kutengeneza designs za kitaalamu.

KOZI UNAZOSOMA
✅ Graphics Design Fundamentals
✅ Adobe Photoshop Course
✅ Adobe Illustrator Course
✅ Adobe Indesign Course
✅ Social Media Marketing

FAIDA ZA KOZI HII
✅Masomo ya ana kwa ana Ofisini kwetu kwa Muda wa Mwezi Mmoja
✅ Access ya Masomo Kupitia website
✅ Session za Live Zoom Meeting kila wiki mara moja kwa ajili ya maswali na majibu
✅ Access ya WhatsApp Group kila siku
✅ Utapata cheti kwenye kila kozi uliyoisoma na kumaliza kwa kufaulu
✅ Kuunganishwa na ajira ikipatikana

Ada Physical ofisini
✅ Tsh 500,000

Online Recorded Videos
✅ Tsh 250,000

Ofisi Zipo Ubungo External Dar es salaam
📞 JISAJILI NA MAFUNZO SASA
📲 +255 627 150 780
📲 +255 745 152 680

19/07/2025

Darasa Jipya la Graphics Design Linaanza Jumatatu
Unaweza kujisajili wakati wowote kuanzia sasa

Hii ni nafasi yako ya kujifunza ujuzi wa kisasa wa Graphics Design unaoweza kukusaidia kujiajiri au kupata kazi kwa urahisi. Utajifunza kutoka kwa wakufunzi wenye uzoefu na kupata maarifa ya kutengeneza designs za kitaalamu.

KOZI UNAZOSOMA
✅ Graphics Design Fundamentals
✅ Adobe Photoshop Course
✅ Adobe Illustrator Course
✅ Adobe InDesign Course
✅ Social Media Marketing

FAIDA ZA KOZI HII
✅Masomo ya ana kwa ana Ofisini kwetu kwa Muda wa Mwezi Mzima
✅ Access ya Masomo Kupitia website
✅ Session za Live Zoom Meeting kila wiki mara moja kwa ajili ya maswali na majibu
✅ Access ya WhatsApp Group kila siku
✅ Utapata cheti kwenye kila kozi uliyoisoma na kumaliza kwa kufaulu
✅ Kuunganishwa na ajira ikipatikana

Ada Physical ofisini
✅ Tsh 500,000

Online Recorded Videos
✅ Tsh 250,000

Ofisi Zipo Ubungo External Dar es salaam
📞 JISAJILI NA MAFUNZO SASA
📲 +255 627 150 780
📲 +255 745 152 680

19/07/2025

Nilihitimu Chuo Kikuu cha Dar es salaam Mwaka 2018

Hata hivyo mara baada ya Kuhitimu Niliamua kuwekeza muda wangu kujifunza
Kujifunza ujuzi wa Content Creation baada ya mwaka mmoja niliajiriwa

Niliajiriwa Healthy Eating Company nikafanya kazi miaka Mitatu
nimetumia ujuzi wangu nilojifunza online kutengeneza kipato changu na
nzuri Zaidi nafundisha wengine kufanyia hivyo

Nnao wanafunzi wangu Zaidi ya 50 ambao wako proud na wamesema wazi wamejifunza wapo walioajiriwa na wapi waliojiajiri Hongereni sana wote

Ikiwa na wewe unapenda Kujifunza Graphics Design na Video Production basi
usisite namba ziko hapa chini

Ofisi zetu Zipo
Ubungo External Dar es salaam
0745152680

Address


Opening Hours

Monday 06:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Joelmedia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Joelmedia:

Shortcuts

  • Address
  • Opening Hours
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share