25/12/2025
Msanii wa muziki Dogo Zuuh, awatupia dongo ma legend wa muziki pamoja na wasanii wa kiume ambao hawataki kulinganishwa nae,eti kisa tu yeye ni mwanamke,kuwa mwanamke sio sababu ya kutokulinganishwa na mwanaume kwenye kazi ya muziki.
Una mpa asilimia ngapi Dogo Zuuh?
Full Video iko tayari kwenye YouTube ya « AloboVibes Tv »Dakika zaidi ya 11,kazungumza yote,unaweza kuitazama kwa urefu zaidi.