06/05/2024
HOW TO STEAL MEAT FROM SUFURIA😀
1. Ingia jikoni , angalia juu na chini uone ka kuna mtu
anakuja🥺
2. Cheki position ya kijiko vile imeekwa ndo usifanye mistake
yoyote ukitoka😎😎
3. Fungua sufuria kwa utaratibu ,,,usikubali kifuniko ianguke
itoe masauti😍😍
4. Hesabu nyama ziko kwa sufuria,,,k**a zimepita 5 ama ziko
less....k**a ziko less ujue mamako atajua piece zimepotea🥺🥺
5. K**a ziko mingi chukua moja ,,,k**a n kidogo zichukue
uume kidogo kidogo ukizirudisha kwa sufuria ,,,ndio
mum akihesabu anapata bado ziko sawa😋😋
6. Ukiwa unakula kaa rada ndo usikie ka kuna mtu anakam
,,,usikubali soup ikumwagikie kwa nguo,,,panguza na maji🤣
7. After umekula nyama nawa mikono na sabuni na usmell
5times usikie ka harufu ya supu imeisha😍😍
8. K**a mdomo bado inanuka nyama enda uoshe na
maji...💦💦alaf uchukue pilipili utafune ndo harufu ipotee kabisa
9. Sasa toka jikoni k**a pastor🙏
Kesho tutajifunza: HOW TO STEAL SOMEONE'S GIRLFRIEND follow Gilbert Gilly Gilbert