
01/02/2024
Point Of No Return🔞
Episode 1😭💔😂🩷
Like kwanza ndo usome😂
After kumaliza kcse k**a tu mwanafunzi yeyote I expected alot😅ju I was more than prepared nikiwa naenda kwa exam room from day one to the final day ya exam😏jokes niliweka aside ju nilijua hii ndo kitu ingedetermine future yangu😳so I had no option than to take it serious ndo niwe na bright future😔dad as always been 'mtu wa masomo' ni yule mtu mwenye kila statement yake haingekosa 'always remember to study hard my son ju iyo tu ndo kitu itakusaidia' so all my four years imekuwa nothing but hard work😌sikutaka ata kujihusisha na activities mob since niliona zitanidistract na nikose kufocus kimasomo😄so venye tu nilijoin music club na scout that was the end of it nikaamua kufocus na izo mbili na masomo😅kufika form 3 ilibidi niquit izo clubs zote ndo sa niconcentrate fully kwa masomo.......
Sikuwa that much bright but I was an average student😇 nilikuwa nachezea apo kwa ma B plain ikienda sana na c plain on bad days😔 nilikuwa the best student in English and business most of the time at I had the opportunity to represent my school during various inter schools contest🤓hayo yote ni kuwaambia tu venye nilikuwa a promising and serious candidate😅najua hii story itaguza wengi but ni yangu so yako pia ikiwa ivi then we share the same story kaa kitako twendelee😂 after kumaliza the last paper as promised dad alikam shule kunipick uku akiwa na mum na my kid siz na big bro😜it was such a pleasure seeing them being there for me and nikawapromise I will actually pay back this support😞dad aladai "all we need from you is a direct entry to the university so that uende usomee upilot ndo ata nipande ndege inaendeshwa na mwanangu na watu waache kuniita wuon Tony waniite wuon Pilot"😂😂😂tulicheka pamoja Kisha tukaingia kwa gari uku nikiwaambia "I promise you people I'll be the first pilot kwa familia yetu"😄na ivo ndo ikawa😞 finally the D-Day imafika it was one of the worst days of my life😭 ilikuwa tu after lunch