Snout Hot Newz

  • Home
  • Snout Hot Newz

Snout Hot Newz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Snout Hot Newz, Magazine, .

An Official Page of SNOUT HOT NEWZ.....A Blog of different news, Social, Political, Entertainment, Sports, Scandals as well as Educational Stuffs...http://snout6.blogspot.com/

10/05/2020

Covid

Daudi Albert Bash*te awajibu.
21/03/2017

Daudi Albert Bash*te awajibu.

Ujinga ni pale waziri wa serekali anapo pingana na nia njema kabisa ya serekali yake asipo anglia vizuri anaweza akaondoka yeye hivi kuna nn kinacho mkera na kumkosesha amani inawekana alitegemea kuwepo kwenye nafasi hiyo maana kwa ninavio jua mimi hata Bajeti ya wizara yake ni ndogo zaidi kuliko Bajeti ya mkoaa etii leo wameungana vyombo vya habari kisa 2 kuna askari kaonekana kwenye offici za chombo kimoja cha habari wanachukulia hili k**a silaya na njama za kupoteza nia njema ya serekali ya kuwaajibisha wale wote walio kua napata pesa haram na ndio hao wote wanao ungana leo etii sisi ni kitu kimoja hivi leo Mengi niwa kwenda clouse hivi leo E.FM niwa kuwapongeza clouse yaani mdaa mwengine lazima wa Tz tuwe wenye kufikiri kwa mapana zaidi hivi mlitegemea Raisi Amwajibishe Mkuu wa mkoaa kisa kelele mnazo piga mtandaoni kwanza pigeni mahesabu ni wa Tz wangapi wanao tumia Instagram mkisha pata majibu ya swali hilo ndipo Mtakapo jua kua Raisi hashauriwi na Comment ama like za Facebook Instagram ama twitter viongozi wakubwa wenye akili zenu Mnakaa kuandika upuuzi Instagram na twitter kwani mliambiwa inchi hii ina endeshwa kwa Maoni ya Instagram na twitter sasa Tanzania one kasha sema piga kaz hata yeye hua ana chambwa kwenye mtandao sasa mnataka na yeye ajiuzulu ama????? Nilitegemea kwa pamoja vyombo vya habari Vinge jiunga kupiga vita Madawa ya kulevya ila vilishindwa kwakua miongoni mwao wao pia niwafanya biashara hiyo etii leo mna jiunga kwa swala dogo k**a hili ndio Rais nae asikilize Maoni yenu ya kumwachisha kaz Kijana alie jitoa mhanga kuwakomboa wa Tanzania walio wengi kuliko nyiee mnao Endelea kupiga kelele zisizo kua na maantiki yeyote ile ndio kwanza mnazidi kumpa nguvu za kuendeleza harakati hizi kwa nguvu moja Siku zote kuliko na mkono wa Mungu mkono wa shetani hauna nafasi wa Tz tulio wengi tupo nyuma yako hao wanao piga kelele mtandaoni niwa chache tusio kua na smart phone ndio wengi zaidi kuliko wao

18/01/2017

Jamani huko uliko vp bei ya mazao ya kula mf mahindi,mtama,mpunga nk

22/11/2016

SNOUT HOT NEWS INASIKITIKA KWA KUWAALIFU FANS WAKE KUWA ADMIN NA CREATER OF THIS PAGE LEMANA SAMWEL SITTA AMEFIWA NA BABA YAKE MZAZI MIDA YA SAA SABA MCHANA TAR 22/11/2016 HIVI 2ND ADMIN ANASIKITIKA KWA MSIBA WA BABA YETU KIPENZI TOGETHER WE LOVED HIM BUT OUR SHEPHERD LOVED HIM TOO BWANA KATOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.
IMEANDIKWA NA ZAKAYO TRUMP PHILLYX FROM KAHAMA.

17/11/2016

The end of this year it nearby which main thing ready you done it?

27/07/2016

SNOUT HOT NEWZ INAWATAKIA SIKU NJEMA NA MWISHO MWEMA WA MWEZI WA SABA.

16/06/2016

TWAWAPENI POLE WOOTE MTAKAOFUNGIWA SIMU ZENU.

31/12/2015

HAPPY NEW YEAR 2016
HAVE A BRILIANT YEAR

WIZARA YA AFYA IMETANGAZA NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2014/2015
25/04/2014

WIZARA YA AFYA IMETANGAZA NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2014/2015

Your Blog Description here!

11/04/2014

UEFA CHAMPIONS LEAGUE SEMI-FINAL DRAW

REAL MADRID CF VS BAYERN MUNCHEN CF

ATLETICAL MADRID CF VS CHELSEA FC

EUROPA LEAGUE SEMI-FINAL DRAW

SEVILLA VS VALENCIA

BENFICA VS JUVENTUS

DROP YOUR EXPECTATION HERE!

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Snout Hot Newz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share