Video za Kuchekesha

  • Home
  • Video za Kuchekesha

Video za Kuchekesha Tanzania

SOMA HII TAFADHALIMtoto mmoja mwenye umri wa miaka 16 alimuuliza mama yake: "Mama, utanifanyia nini nikifikisha umri wa ...
01/07/2025

SOMA HII TAFADHALI
Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 16 alimuuliza mama yake: "Mama, utanifanyia nini nikifikisha umri wa miaka 18 (siku yangu ya kuzaliwa)
Mama akajibu:- "mwanangu bado una unasafari ndefu". mtoto yule lifikisha umri wa miaka 17, siku moja ghafla akaanguka chini.
Mama yake akambeba na kumuaisha hospitali, na daktari akasema: "Mama mwanao ana Moyo mkubwa pia limeonekana tundu katika moyo wake."
Mama akiwa na mwanae pale hospitali huku mama akiwa na mawazo nini cha kufanya, mtoto akamuuliza mama yake " Mama Madaktari wamekwambia mimi ninaenda kufa?? Mama akaanza kulia..
Baada ya muda wa mwaka nzima kijana huyu akiwa amefikisha mika 18 alirudishwa nyumbani kutokana na hali yake kuwa nzuri. baada ya kufika nyumbali alikuta barua ipo kwenye kitanda, iliyokuwa imeandikwa na mama yake.
Barua iliandikwa hivi: Mwanangu unasoma haya kwa sababu kila kitu kimeenda sawa mpaka sasa. kumbuka siku uliyoniambia siku ukifikisha miaka 18 nitakupa nini na hukufahamu kwanini sikukupa jibu. "Nimekupa moyo wangu take care of it and happy Birthday Son" alimalimaza kwa maneno hayo ya kingereza.
Mama alikufa kwasababu ya ili mwanae apone alitakiwa kutoa moyo wake awekewe mwanae.
K**a unaamini Hakuna k**a "MAMA" hapa duniani
Andika Nakupenda "MAMA" na k**a unamjali mama yako Unaweza SHARE, Iwafikie watu wengi wajifunze.

Mdau anauliza.
30/06/2025

Mdau anauliza.

Hii picha imepigwa mkoa upi.
16/06/2025

Hii picha imepigwa mkoa upi.

16/06/2025

Weka namba nikuunge kwenye group la video za vichekesho.

25/08/2023

Kwa kabila lenu mnasemaje mchana mwema?

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Video za Kuchekesha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share