Tbs County Radio Hola New Fun Page

  • Home
  • Tbs County Radio Hola New Fun Page

Tbs County Radio Hola New Fun Page TBS County Radio is a station situated in Hola, Tana River County.

04/11/2025

Children service month at Hola Law Courts.

Theme :

securing justice for every child. Enhancing multi-agency collaboration, increasing budgetary allocation to combat child abuse

03/11/2025

KCSE 2025.

Zaidi ya Watahiniwa 2,000 Tanariver kufanya mtihani huo.

Andrew Mutua, DCC Tanariver Sub County.

Weather forecast update for Tana River.         Kenya Meteorological Department Kenya Red Cross Society
30/10/2025

Weather forecast update for Tana River.



Kenya Meteorological Department
Kenya Red Cross Society

Vikao vya majadiliano dhidi ya dhulma za kijinsia vinalenga kuboresha uelewa wa haki na kuboresha mawasiliano ili kuweze...
29/10/2025

Vikao vya majadiliano dhidi ya dhulma za kijinsia vinalenga kuboresha uelewa wa haki na kuboresha mawasiliano ili kuwezesha jamii kuripoti kwa mapema visa hivyo vinapotokea.

Kati ya vijiji ambavyo mazungumzo hayo yamefanyika ni Makere na Kalkacha.

27/10/2025

DCC Tana River Sub county Andrew Mutua akitoa taarifa ya mtihani wa KPSEA na KSEA

Watahiniwa 2233 gatuzi dogo la Tana River wanaanza mtihani wa gredi ya 6 KPSEA na wengine 1645 wakifanya ule wa gredi ya...
27/10/2025

Watahiniwa 2233 gatuzi dogo la Tana River wanaanza mtihani wa gredi ya 6 KPSEA na wengine 1645 wakifanya ule wa gredi ya 9 KJSEA.

Akiongoza ufunguzi wa kasha la mitihani hiyo mjini Hola, naibu kamishena wa Tana River Andrew Mutua amesema kwamba mtihani huo utafanyika katika vituo 45 kwa KPSEA na 40 kwa KJSEA.

Aidha amesema mtihani wa KCSE unaendelea katika vituo 14 huku akiongeza mipango kabambe imewekwa kuhakikisha msimu wa mtihani unatamatika salama.

Mamia ya vijana kutoka wadi za eneo bunge la Galole wamefika kufanyiwa ukaguzi kwa mpango wa kuwezesha vijana NYOTA.
24/10/2025

Mamia ya vijana kutoka wadi za eneo bunge la Galole wamefika kufanyiwa ukaguzi kwa mpango wa kuwezesha vijana NYOTA.

Chama cha United Green Movement UGM kikiongozwa na mgombea wake wa Urais, aliyekuwa Hakimu mkuu nchini David Maraga wapo...
23/10/2025

Chama cha United Green Movement UGM kikiongozwa na mgombea wake wa Urais, aliyekuwa Hakimu mkuu nchini David Maraga wapo mjini Hola katika hafla ya kuzindua rasmi kampeni ya Odha Ilu Hiyesa ambaye atawania kiti cha uwakilishi wadi chewani kwa tiketi ya chama hicho.

Washikadau wa maswala ya amani na usalama  gatuzi dogo la Tana River hii leo wamekuwa na kikao cha kujadili mikakati ya ...
22/10/2025

Washikadau wa maswala ya amani na usalama gatuzi dogo la Tana River hii leo wamekuwa na kikao cha kujadili mikakati ya kuzidisha amani na usalama eneo hilo.

Kati ya yaliyozumguziwa ni kukithiri kwa visa vya wizi maeneo ya mjini, matumizi ya dawa za kulevya miongoni mwa vijana, dhulma za kijinsia ukiukaji wa haki za watoto na jinsi ya kuboresha mahusiano mema kati ya viongozi wa usalama na raia ili kuwezesha utoaji huduma kwa urahisi.

Wadau hao wamekubaliana kuchukua majukumu tofauti ya kujadili yaliyozungumziwa kwenye kikao hicho.

Mkao huo umeongozwa na msaidizi wa kamishena tarafa ya wenje Timothy Omoit ukifadhiliwa na shirika la Kijamii KECOSCE chini ya mradi wa REINVENT.

Kaunti ya Tana River imeungana na mataifa mengine kuadhimisha siku ya chakula duniani. Kaimu katibu wa kaunti Mwanajuma ...
16/10/2025

Kaunti ya Tana River imeungana na mataifa mengine kuadhimisha siku ya chakula duniani.

Kaimu katibu wa kaunti Mwanajuma Hiribae ameongoza hafla hiyo iliyofanyika katika taasisi ya mafunzo ya kilimo kaunti hiyo.

Hafla hiyo imeshuhudia washikadau katika sekta ya kilimo wakiungana na wakulima kufanya maonyesho yanayoawiana na maswala ya kilimo.

Ukaguzi wa waliotuma maombi ya mpango wa NYOTA imeahirishwa kwa muda kufuatia kifo cha Raila Odinga. Ukaguzi huo awali u...
15/10/2025

Ukaguzi wa waliotuma maombi ya mpango wa NYOTA imeahirishwa kwa muda kufuatia kifo cha Raila Odinga.

Ukaguzi huo awali uliratibiwa kufanyika tarehe 17 Oktoba 2025.

Tarehe mpya zitatangazwa baadae.

YANAYOJIRIHayati Raila Odinga Kuzikwa Jumapili wiki hii. Naibu Rais Kithure Kindiki asema kwenye taarifa ya kamati andal...
15/10/2025

YANAYOJIRI

Hayati Raila Odinga Kuzikwa Jumapili wiki hii.

Naibu Rais Kithure Kindiki asema kwenye taarifa ya kamati andalizi ya mazishi ya Odinga.

Address


Telephone

+254703680538

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tbs County Radio Hola New Fun Page posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tbs County Radio Hola New Fun Page:

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share